balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Pale mlipoweka Kambi Kibaha wachezaji hawako salama. Hakuna ulinzi,basi lenu mnapolipaki pale shuleni linaonekana wazi. Unaingia pale lodge unakutana na wachezaji na unaongea nao bila shida, sasa kama Mimi ni mnazi wa timu flani si ni rahisi kuwarubuni?
Timu zetu za kariakoo zina watu maeneo hayo, tena ni wanazi kwelikweli.
Chukua hatua
Timu zetu za kariakoo zina watu maeneo hayo, tena ni wanazi kwelikweli.
Chukua hatua