Viongozi wa EU wakubaliana kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine

Umoja huo wenye takriban Nchi 27 umefikia mwafaka huo baada ya upinzani mkali kutoka kwa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban aliyesema vikwazo vitaathiri Uchumi wa Nchi yake

Awali, Rais Volodymyr Zelenskyy aliwakosoa Viongozi wa Umoja huo akisema wamekuwa wapole sana kwa Moscow akisema Urusi bado inatengeneza Mabilioni kwa kuuza Nishati

=======

European Union leaders have agreed in principle to cut 90 percent of oil imports from Russia by the end of this year, cutting off a vital source of funding for Moscow’s invasion of Ukraine, after reaching a compromise deal with Hungary.

The 27-nation organisation has spent weeks haggling over a complete ban on Russian oil but encountered stubborn resistance from Hungarian Prime Minister Viktor Orban who said an embargo would destroy his country’s economy.

At a meeting in Brussels on Monday, leaders hatched a compromise deal to exempt deliveries arriving in Europe by the Druzhba pipeline.

“Agreement to ban export of Russian oil to the EU. This immediately covers more than two thirds of oil imports from Russia, cutting a huge source of financing for its war machine,” European Council chief Charles Michel said in a tweet at the end of the first day of a two-day leaders’ summit.

“Maximum pressure on Russia to end the war,” Michel added.

The head of the EU’s executive, Ursula von der Leyen, said the move “will effectively cut around 90 percent of oil imports from Russia to the EU by the end of the year” when Germany and Poland have promised to end deliveries via pipeline.

Two-thirds of the Russian oil imported into the EU is delivered by tanker and one third by the Druzhba pipeline. The embargo would reach 90 percent after Poland and Germany, which are also connected to the pipeline, stop taking delivery of Russian oil by the end of the year.

The remaining 10 percent will be temporarily exempt from sanctions so that Hungary, Slovakia and the Czech Republic, which are all connected to the southern leg of the pipeline, continue to have access to fuel they cannot easily replace.

“Russia has chosen to continue its war in Ukraine. Tonight, as Europeans, united and in solidarity with the Ukrainian people, we are taking new decisive sanctions,” French President Emmanuel Macron tweeted.

The compromise means other measures can also take effect, including disconnecting Russia’s biggest bank Sberbank from the global SWIFT system, banning three state broadcasters, and blacklisting individuals blamed for war crimes

Source: Al Jazeera
 
Sababu ya tamaa za umoja WA ulaaya saivi wanaumia Kwa maamuzi yao kuzikaribisha nchi za ulaya mashariki kwenye umoja wao imejikuta wanapingana sana kwenye Mambo ya msingi ilianza kwenye kukaribisha wahamiaji poland akawavimbia Hadi wampe pesa saivi limekuja ili swala na Baba Yao nchi za ulaaya mashariki naona hawataki kukubaliana nawo ata mwisho wa mwaka ukifika ngojera hazitaisha
 
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine

Umoja huo wenye takriban Nchi 27 umefikia mwafaka huo baada ya upinzani mkali kutoka kwa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban aliyesema vikwazo vitaathiri Uchumi wa Nchi yake

Awali, Rais Volodymyr Zelenskyy aliwakosoa Viongozi wa Umoja huo akisema wamekuwa wapole sana kwa Moscow akisema Urusi bado inatengeneza Mabilioni kwa kuuza Nishati

=======

European Union leaders have agreed in principle to cut 90 percent of oil imports from Russia by the end of this year, cutting off a vital source of funding for Moscow’s invasion of Ukraine, after reaching a compromise deal with Hungary.

The 27-nation organisation has spent weeks haggling over a complete ban on Russian oil but encountered stubborn resistance from Hungarian Prime Minister Viktor Orban who said an embargo would destroy his country’s economy.

At a meeting in Brussels on Monday, leaders hatched a compromise deal to exempt deliveries arriving in Europe by the Druzhba pipeline.

“Agreement to ban export of Russian oil to the EU. This immediately covers more than two thirds of oil imports from Russia, cutting a huge source of financing for its war machine,” European Council chief Charles Michel said in a tweet at the end of the first day of a two-day leaders’ summit.

“Maximum pressure on Russia to end the war,” Michel added.

The head of the EU’s executive, Ursula von der Leyen, said the move “will effectively cut around 90 percent of oil imports from Russia to the EU by the end of the year” when Germany and Poland have promised to end deliveries via pipeline.

Two-thirds of the Russian oil imported into the EU is delivered by tanker and one third by the Druzhba pipeline. The embargo would reach 90 percent after Poland and Germany, which are also connected to the pipeline, stop taking delivery of Russian oil by the end of the year.

The remaining 10 percent will be temporarily exempt from sanctions so that Hungary, Slovakia and the Czech Republic, which are all connected to the southern leg of the pipeline, continue to have access to fuel they cannot easily replace.

“Russia has chosen to continue its war in Ukraine. Tonight, as Europeans, united and in solidarity with the Ukrainian people, we are taking new decisive sanctions,” French President Emmanuel Macron tweeted.

The compromise means other measures can also take effect, including disconnecting Russia’s biggest bank Sberbank from the global SWIFT system, banning three state broadcasters, and blacklisting individuals blamed for war crimes

Source: Al Jazeera
Safi kabisa
 
Huyu mpumbavuuu chifu mafiii asikii hizi habari au ni kiburi tu ,kwanini tuteseke kwa mafuta wakati urusi yspo ya kutosha au team msoga wanayanunua urusi kimyakimya na kutupiga bei kihuni
 
Uongo uliouleta hapa.juz tu EU walikaa kikao waka weka bayana kwamba ,mafuta kutoka urusi hakuna namna ya kuyakwepa ,ili kunusuru uchumi wa EU.balaza la mawaziri ujerumani pia na wao walisema hvhv ,na ujerumani aliongea mwanzo kabisa kuwa wao hawako tayar kugomea mafuta ya russia !! hii uliyoileta hapa ni chai !!

Uwezo wa kuyagomea hawana ,wagome wapambane na mfumuko wa Bei ya vitu ,na kupanda na gharama ya maisha ,tuone Kama wata survive na msimamo wao hata miaka 2.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tu kama lengo la kusimanisha vita litafanikiwa
 
Uongo uliouleta hapa.juz tu EU walikaa kikao waka weka bayana kwamba ,mafuta kutoka urusi hakuna namna ya kuyakwepa ,ili kunusuru uchumi wa EU.balaza la mawaziri ujerumani pia na wao walisema hvhv ,na ujerumani aliongea mwanzo kabisa kuwa wao hawako tayar kugomea mafuta ya russia !! hii uliyoileta hapa ni chai !!

Uwezo wa kuyagomea hawana ,wagome wapambane na mfumuko wa Bei ya vitu ,na kupanda na gharama ya maisha ,tuone Kama wata survive na msimamo wao hata miaka 2.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimbishie mleta mada kwa taarifa yako ya juzi, leo EU wamekubaliana kupunguza ununuzi wa Gesi ya Urusi kwa 90% kufikia December mwaka huu, na hapa wataanza na logistics za Meli ambazo ni 2/3 ya Gesi yote wanayo nunua kutoka Urusi hivyo watabakiza Gesi ya bomba tu ambayo ni 1/3 ya Gesi yote EU wanayonunua kutoka Urusi.

Lengo kuu ni kupunguza mrija wa fedha ambazo Urusi inapata kupitia kwenye mauzo ya Gesi yake, Fedha hizo ndizo zinaisaidia Urusi kufadhili vita ya Ukraine.
 
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine

Umoja huo wenye takriban Nchi 27 umefikia mwafaka huo baada ya upinzani mkali kutoka kwa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban aliyesema vikwazo vitaathiri Uchumi wa Nchi yake

Awali, Rais Volodymyr Zelenskyy aliwakosoa Viongozi wa Umoja huo akisema wamekuwa wapole sana kwa Moscow akisema Urusi bado inatengeneza Mabilioni kwa kuuza Nishati

=======

European Union leaders have agreed in principle to cut 90 percent of oil imports from Russia by the end of this year, cutting off a vital source of funding for Moscow’s invasion of Ukraine, after reaching a compromise deal with Hungary.

The 27-nation organisation has spent weeks haggling over a complete ban on Russian oil but encountered stubborn resistance from Hungarian Prime Minister Viktor Orban who said an embargo would destroy his country’s economy.

At a meeting in Brussels on Monday, leaders hatched a compromise deal to exempt deliveries arriving in Europe by the Druzhba pipeline.

“Agreement to ban export of Russian oil to the EU. This immediately covers more than two thirds of oil imports from Russia, cutting a huge source of financing for its war machine,” European Council chief Charles Michel said in a tweet at the end of the first day of a two-day leaders’ summit.

“Maximum pressure on Russia to end the war,” Michel added.

The head of the EU’s executive, Ursula von der Leyen, said the move “will effectively cut around 90 percent of oil imports from Russia to the EU by the end of the year” when Germany and Poland have promised to end deliveries via pipeline.

Two-thirds of the Russian oil imported into the EU is delivered by tanker and one third by the Druzhba pipeline. The embargo would reach 90 percent after Poland and Germany, which are also connected to the pipeline, stop taking delivery of Russian oil by the end of the year.

The remaining 10 percent will be temporarily exempt from sanctions so that Hungary, Slovakia and the Czech Republic, which are all connected to the southern leg of the pipeline, continue to have access to fuel they cannot easily replace.

“Russia has chosen to continue its war in Ukraine. Tonight, as Europeans, united and in solidarity with the Ukrainian people, we are taking new decisive sanctions,” French President Emmanuel Macron tweeted.

The compromise means other measures can also take effect, including disconnecting Russia’s biggest bank Sberbank from the global SWIFT system, banning three state broadcasters, and blacklisting individuals blamed for war crimes

Source: Al Jazeera
hivi hii taarifa inaeleweka?
Nimecopy DW SWAHILI

Mataifa ya Ulaya kusitisha uingizaji wa mafuta kutoka Urusi​

Viongozi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wamekubaliana kupiga marufuku kwa hadi asilimia 90 uingizaji wa mafuta kutoka Urusi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Belgien Brüssel | EU GIpfeltreffen - Olaf Scholz

Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa siku ya kwanza ya mkutano wa kilele mjini Brussels uliotawaliwa na suala la mzozo wa Ukraine.
Taarifa ya makubaliano hayo imetolewa na viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya muda mfupi baada ya kumalizika kwa mashauriano marefu juu awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi katika mkutano wa siku mbili ulioanza jana mjini Brussels.
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Ulaya Charles Michel amearifu kupitia ukurasa wa Twitter kuwa wakuu wa nchi 27 wanachama wa umoja huo wamefikia uamuzi wa kuzuia kununua sehemu kubwa ya mafuta kutoka Urusi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
Uamuzi huo ni sehemu ya mkururo wa vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi tangu nchi hiyo ilipoivamia Ukraine mnamo mwezi Februari. Katika awamu ya sasa mafuruku hiyo itahusisha mafuta ya Urusi yanayosafirshwa kwa meli kuingia barani Ulaya.
Shehena ya mafuta kwa njia hiyo ya bahari ni karibu theluthi mbili ya mafuta yote ya Urusi yanayouzwa kwa mataifa ya Umoja wa Ulaya.
Vikwazo vya sasa havitaligusa bomba la mafuta la Druzhba
EU-Ukraine Summit in Kiev - Charles Michel in Kiev
Rais wa Baraza Kuu la Ulaya Charles Michel
Michel amesema uamuzi huo ambao ulikuwa mgumu kufikiwa utaidhabu Urusi kwa kuikatia chanzo kikuu cha mapato "kinachofadhili vita vyake".
Hata hivyo marufuku ya sasa haitahusisha mafuta yanayosafirishwa kwa kutumia bomba kubwa la tangu enzi ya dola ya Kisovieti la Druzhba linalosafirisha nishati ya mafuta moja kwa moja kutoka Urusi hadi mataifa kadhaa ya katikati na mashariki mwa Ulaya.
Hungary ilikuwa miongoni mwa mataifa kadhaa ya kanda hiyo yaliyopinga vikali kuweka vikwazo kwa mafuta yanayosafirishwa kupitia bomba hilo.
Kwa sasa bomba la Druzhba linapitisha karibu theluthi moja ya mafuta yote ya Urusi yanayotumika ndani ya Umoja wa Ulaya.
Viongozi wa EU wapitisha pia msaada wa nyongeza kwa Ukraine
Ursula von der Leyen I REPowerEU
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen
Akizungumzia awamu hiyo mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi Kiongozi wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amewasifu viongozi wa mataifa ya kanda hiyo kwa kufikia makubaliano akisema ilikuwa hatua ngumu lakini muhimu kufikiwa.
"Kwa sasa kilichosalia ni kama asilimia 10 au 11 ya mafuta tunayoagiza kutoka Urusi ambayo yanapitia kwenye bomba la Druzhba na kwa kweli tumekubaliana kuwa kwa sasa tusiliweke kwenye vikwazo. (Lakini) tumekubaliana na Baraza kuu la Umoja wa Ulaya kurejea kujadili suala hilo kwa njia moja au nyingine haraka iwezekenavyo", amesema Von der Leyen.
Mbali ya sekta ya nishati ya mafuta awamu hiyo ya sita ya vikwazo inajumuisha pia kuzuia mali za raia kadhaa wa Urusi pamoja na kuiondoa benki kubwa ya Urusi ya Sberbank kutoka mfumo wa kimataifa wa malipo na miamala ya kibenki wa SWIFT.
Mkutano huo mjini Brussels pia umefikia makubaliano ya kuipatia Ukraine msaada wa ziada wa dola bilioni 9.7 kufidia gharama za kuendesha serikali ikiwemo kulipa mishahara ya watumishi wa umma na kuendelea kutoa huduma za jamii ikiwemo shule na hospitali.
 
WANASITISHA LAKINI SIO LEO, KUANZIA DECEMBER
WANASITISHA LAKINI KUFIKIA DECEMBER WANATAKA IWE 90%
WANASITISHA LAKINI BOMBA LA DRUJBA HAWALIGUSI.

WATAALAM TUJUZEN HAPA, IKIWA LENGO LA KUSUNCTION NI KUPUNGUZA FEDHA ZINAZOFINANCE OPERATION YA URUS KWANIN WASUBIRI HADI DEC , WASISEME KUANZIA SASA? KWANN HILO BOMBA LA DRU NIN WASILIFUNGIE NALO? KWANN IWE 90% ISIWE 100%?
KAMA KWELI WAMEAMUA SERIA.
 
Wanaenda taratibu kuna mambo hauitaji kukurupuka hata kama unataka ushindi.

Hilo bomba ni 1/3 tu ya Gesi kutoka Urusi kwenda EU, hivyo wataiacha nayo pia.
 
Bluffing!
Kwanini wasubirie end of year!?!
Wanafiki Sana! By December Ukraine itakuwa kama imechakaa kama mgodi wa makaa ya mawe!

Yule comedian bado Tu anawaamini hawa mabeberu!??
 
Wanaenda taratibu kuna mambo hauitaji kukurupuka hata kama unataka ushindi.

Hilo bomba ni 1/3 tu ya Gesi kutoka Urusi kwenda EU, hivyo wataiacha nayo pia.
Gesi hawawezi kuigusa Leo au kesho ilo bomba linapitisha mafuta
 
Nadhani kabla mwisho wa mwaka,malengo ya Kijeshi ya Russia nchini Ukraine yatakuwa yametimia na vita kuisha kabisa!
 
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine

Umoja huo wenye takriban Nchi 27 umefikia mwafaka huo baada ya upinzani mkali kutoka kwa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban aliyesema vikwazo vitaathiri Uchumi wa Nchi yake

Awali, Rais Volodymyr Zelenskyy aliwakosoa Viongozi wa Umoja huo akisema wamekuwa wapole sana kwa Moscow akisema Urusi bado inatengeneza Mabilioni kwa kuuza Nishati

=======

European Union leaders have agreed in principle to cut 90 percent of oil imports from Russia by the end of this year, cutting off a vital source of funding for Moscow’s invasion of Ukraine, after reaching a compromise deal with Hungary.

The 27-nation organisation has spent weeks haggling over a complete ban on Russian oil but encountered stubborn resistance from Hungarian Prime Minister Viktor Orban who said an embargo would destroy his country’s economy.

At a meeting in Brussels on Monday, leaders hatched a compromise deal to exempt deliveries arriving in Europe by the Druzhba pipeline.

“Agreement to ban export of Russian oil to the EU. This immediately covers more than two thirds of oil imports from Russia, cutting a huge source of financing for its war machine,” European Council chief Charles Michel said in a tweet at the end of the first day of a two-day leaders’ summit.

“Maximum pressure on Russia to end the war,” Michel added.

The head of the EU’s executive, Ursula von der Leyen, said the move “will effectively cut around 90 percent of oil imports from Russia to the EU by the end of the year” when Germany and Poland have promised to end deliveries via pipeline.

Two-thirds of the Russian oil imported into the EU is delivered by tanker and one third by the Druzhba pipeline. The embargo would reach 90 percent after Poland and Germany, which are also connected to the pipeline, stop taking delivery of Russian oil by the end of the year.

The remaining 10 percent will be temporarily exempt from sanctions so that Hungary, Slovakia and the Czech Republic, which are all connected to the southern leg of the pipeline, continue to have access to fuel they cannot easily replace.

“Russia has chosen to continue its war in Ukraine. Tonight, as Europeans, united and in solidarity with the Ukrainian people, we are taking new decisive sanctions,” French President Emmanuel Macron tweeted.

The compromise means other measures can also take effect, including disconnecting Russia’s biggest bank Sberbank from the global SWIFT system, banning three state broadcasters, and blacklisting individuals blamed for war crimes

Source: Al Jazeera
Muda si mrefu oil itapanda tena maana haya mazungu yatang'ang"ania gas na oil kutoka uarabuni Africa maskini hakuna kila rangi tutacha kuona
 
Wanaenda taratibu kuna mambo hauitaji kukurupuka hata kama unataka ushindi.

Hilo bomba ni 1/3 tu ya Gesi kutoka Urusi kwenda EU, hivyo wataiacha nayo pia.
Mbona hawekwenda taratibu kwa Zimbabwe?
Mbona hawakwenda taratibu kwa Iran,?
Mbona hawakwenda taratibu kwa Korea Kaskazini?
 
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine

Umoja huo wenye takriban Nchi 27 umefikia mwafaka huo baada ya upinzani mkali kutoka kwa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban aliyesema vikwazo vitaathiri Uchumi wa Nchi yake

Awali, Rais Volodymyr Zelenskyy aliwakosoa Viongozi wa Umoja huo akisema wamekuwa wapole sana kwa Moscow akisema Urusi bado inatengeneza Mabilioni kwa kuuza Nishati

=======

European Union leaders have agreed in principle to cut 90 percent of oil imports from Russia by the end of this year, cutting off a vital source of funding for Moscow’s invasion of Ukraine, after reaching a compromise deal with Hungary.

The 27-nation organisation has spent weeks haggling over a complete ban on Russian oil but encountered stubborn resistance from Hungarian Prime Minister Viktor Orban who said an embargo would destroy his country’s economy.

At a meeting in Brussels on Monday, leaders hatched a compromise deal to exempt deliveries arriving in Europe by the Druzhba pipeline.

“Agreement to ban export of Russian oil to the EU. This immediately covers more than two thirds of oil imports from Russia, cutting a huge source of financing for its war machine,” European Council chief Charles Michel said in a tweet at the end of the first day of a two-day leaders’ summit.

“Maximum pressure on Russia to end the war,” Michel added.

The head of the EU’s executive, Ursula von der Leyen, said the move “will effectively cut around 90 percent of oil imports from Russia to the EU by the end of the year” when Germany and Poland have promised to end deliveries via pipeline.

Two-thirds of the Russian oil imported into the EU is delivered by tanker and one third by the Druzhba pipeline. The embargo would reach 90 percent after Poland and Germany, which are also connected to the pipeline, stop taking delivery of Russian oil by the end of the year.

The remaining 10 percent will be temporarily exempt from sanctions so that Hungary, Slovakia and the Czech Republic, which are all connected to the southern leg of the pipeline, continue to have access to fuel they cannot easily replace.

“Russia has chosen to continue its war in Ukraine. Tonight, as Europeans, united and in solidarity with the Ukrainian people, we are taking new decisive sanctions,” French President Emmanuel Macron tweeted.

The compromise means other measures can also take effect, including disconnecting Russia’s biggest bank Sberbank from the global SWIFT system, banning three state broadcasters, and blacklisting individuals blamed for war crimes

Source: Al Jazeera
Hizi ni hadithi za uongo mkuu,hii ni partial ban,sio total ban.Hungary itaruhusiwa kuagiza na hata nchi zingine wamekubaliana wata-phase out pole pole until the end of the year.So realistically hakuna ban hapo.As usual ni utapeli na uongo ule ule wa nchi za Magharibi tulio zoea.

Na hata wakiamua total ban,nani ataathirika zaidi,si wao.Russia watauza Eurasia na
nchi zingine,and they are already doing it.Nchi za Ulaya viongozi wake ni mapoyoyo sana,una-sanction nchi ambayo unaitegemea for almost everything,ni ajabu sana.Frankly viongozi wa Ulaya wameamua kuua wananchi wao,na mkutano wa Davos umeonyesha wazi jambo hili.Very sad.
 
Back
Top Bottom