Viongozi wa EU wakubaliana kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi

Viongozi wa EU wakubaliana kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi

Wanaenda taratibu kuna mambo hauitaji kukurupuka hata kama unataka ushindi.

Hilo bomba ni 1/3 tu ya Gesi kutoka Urusi kwenda EU, hivyo wataiacha nayo pia.
WEWE UMETUMIA FUTURE WAO WAMETUMIA PRESENT T
 
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine

Umoja huo wenye takriban Nchi 27 umefikia mwafaka huo baada ya upinzani mkali kutoka kwa Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban aliyesema vikwazo vitaathiri Uchumi wa Nchi yake

Awali, Rais Volodymyr Zelenskyy aliwakosoa Viongozi wa Umoja huo akisema wamekuwa wapole sana kwa Moscow akisema Urusi bado inatengeneza Mabilioni kwa kuuza Nishati

=======

European Union leaders have agreed in principle to cut 90 percent of oil imports from Russia by the end of this year, cutting off a vital source of funding for Moscow’s invasion of Ukraine, after reaching a compromise deal with Hungary.

The 27-nation organisation has spent weeks haggling over a complete ban on Russian oil but encountered stubborn resistance from Hungarian Prime Minister Viktor Orban who said an embargo would destroy his country’s economy.

At a meeting in Brussels on Monday, leaders hatched a compromise deal to exempt deliveries arriving in Europe by the Druzhba pipeline.

“Agreement to ban export of Russian oil to the EU. This immediately covers more than two thirds of oil imports from Russia, cutting a huge source of financing for its war machine,” European Council chief Charles Michel said in a tweet at the end of the first day of a two-day leaders’ summit.

“Maximum pressure on Russia to end the war,” Michel added.

The head of the EU’s executive, Ursula von der Leyen, said the move “will effectively cut around 90 percent of oil imports from Russia to the EU by the end of the year” when Germany and Poland have promised to end deliveries via pipeline.

Two-thirds of the Russian oil imported into the EU is delivered by tanker and one third by the Druzhba pipeline. The embargo would reach 90 percent after Poland and Germany, which are also connected to the pipeline, stop taking delivery of Russian oil by the end of the year.

The remaining 10 percent will be temporarily exempt from sanctions so that Hungary, Slovakia and the Czech Republic, which are all connected to the southern leg of the pipeline, continue to have access to fuel they cannot easily replace.

“Russia has chosen to continue its war in Ukraine. Tonight, as Europeans, united and in solidarity with the Ukrainian people, we are taking new decisive sanctions,” French President Emmanuel Macron tweeted.

The compromise means other measures can also take effect, including disconnecting Russia’s biggest bank Sberbank from the global SWIFT system, banning three state broadcasters, and blacklisting individuals blamed for war crimes

Source: Al Jazeera

Angalia ujinga wa mzungu. Hapa aneyedanganywa ni Ukraine. Kwamba aendelee kupigwa mpaka mwishoni mwa 2022 ambapo EU itakuwa tayari kupiga ban mafuta ya Urusi.

Kama kweli walidhamiria kumlazimisha Urusi aache kuipiga Ukraine mara moja, wanesitisha kununua mafuta leo leo.

Kingine ni kwamba, mafuta wanayokusudia kupiga marufuku ni ile ya kusafirishwa na meli. Ya kusafirishwa kwa bomba haijawekewa vikwazo.

Maana kwa kuendelea kununua mafuta mpaka mwishoni mwa mwaka ni kufadhili kipigo kwa Ukraine bado.
 
Back
Top Bottom