Viongozi wa EU wakubaliana kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi

Wanaenda taratibu kuna mambo hauitaji kukurupuka hata kama unataka ushindi.

Hilo bomba ni 1/3 tu ya Gesi kutoka Urusi kwenda EU, hivyo wataiacha nayo pia.
WEWE UMETUMIA FUTURE WAO WAMETUMIA PRESENT T
 

Angalia ujinga wa mzungu. Hapa aneyedanganywa ni Ukraine. Kwamba aendelee kupigwa mpaka mwishoni mwa 2022 ambapo EU itakuwa tayari kupiga ban mafuta ya Urusi.

Kama kweli walidhamiria kumlazimisha Urusi aache kuipiga Ukraine mara moja, wanesitisha kununua mafuta leo leo.

Kingine ni kwamba, mafuta wanayokusudia kupiga marufuku ni ile ya kusafirishwa na meli. Ya kusafirishwa kwa bomba haijawekewa vikwazo.

Maana kwa kuendelea kununua mafuta mpaka mwishoni mwa mwaka ni kufadhili kipigo kwa Ukraine bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…