Ishu inakuja ni kwenye majukumu yake, je atafanya majukumu yake bila kiingiliwa? Je atakacho shauri kitasikilizwa au ndio mambo ya kuambiwa haiwezekani ela hakuna. Maana hivi vilabu vya kariakoo kwa ubahili na ubsbsishaji vinajitahidi. Viongozi wengine wanaweza kuwa kama mapambo tu.