Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Niende kwenye mada husika hapo juu.
Viongozi kama wabunge na mawaziri mpaka sijui nani huko juu. Wangeonesha mfano mzuri wa kukupenda taifa lao kwa kukubali nusu ya mshahara wao na marupurupu yao yote yakatwe yaelekezwe kuajiri walimu wapya kwa maendeleo ya Taifa letu.
Ukiwa kiongozi unatakiwa uongoze kwa mfano na sio kwa maneno. Mana wao ni viongozi wa wananchi wanaopenda ustawi wao. Na sio kuwa kuwanyonya kwa kodi kubwa kwa sukari, na sehemu zingine ambazo Kodi inalimbikizwa.
Deni la Taifa tuko 71Tz Trilioni, tukifika 78 hatukopesheki. Yaani tutakodisha bandari, mbuga za wanyama, madini yote tuliyo na maziwa yote mpaka bahari tulipe Deni letu. Na Deni la kukopeshwa hela ili tununue chanjo ya korona.