Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Thibitisha kwamba hayupo?Kabla ya yote thibitisha kwanza Mungu kuwa yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha kwamba hayupo?Kabla ya yote thibitisha kwanza Mungu kuwa yupo
To find the truth first define the following terms:Most of us worship our religions and not God, religious traditions have become so powerful than God hence we keep distancing ourselves from Him.
Wokovu ni njia ya Mungu kumtafuta mwadamu kupitia Yesu Kristo.
Sasa hayupo unataka nithibitishe nini?Thibitisha kwamba hayupo?
Have faith on God, and worship Him alone.To find the truth first define the following terms:
What is worshiping?
What is believing?
What is respect?
When you get those concept correctly thats when you will understand whether people worshipi their religion or just believe in their religion.
Mtu ambae haoni ana upofu.Sasa hayupo unataka nithibitishe nini?
Wewe unayesema yupo ndiyo nionyeshe yuko wapi
Iwapo Sabato ingeelezwa kama unavyoieleza,wazee wakaacha kuhukumu watu hovyo,wengi wangeona sio mzigo.Jibu lake ni simple tu, Je ikiwa ng'ombe wako atatumbukia kisimani utamuacha kumtoa kisa ni siku ya sabato ? Sidhani, basi ni halali kutenda mema siku ya sabato.
Kitu cha ziada, dunia imebadilika kiasi kwamba watu wametofautisha vingi na vyote vinachukuliwa kama kazi
Ilhali kiuhalisia na kitafsiri ya kiimani ni kama ibada, kitu kama kutoa msaada, kutibu mgonjwa, kuuguza n.k
Kuiheshimu Sabato kunaanza na kuweka umuhimu wa kutofanya kazi na kuitumia kwa ibada na pumziko
Mfano. Nauza Duka la vifaa vya ujenzi or stationery, electronics hivi vitu nikifunga siku ya sabato kuna kosa gani?? Sababu ni kazi kama kazi nyingine na hakuna udharura wa hiko
Kuhusu hospitali hiyo ni dharura na ni muhimu kuwepo wakati wote,
Je kuna mtu ataenda hospitali ikiwa si mgonjwa?
je ushawahi kwenda hospitali muda wa usiku??
Je ulikuta watu 100?? Unakuta mtu wa zamu (nesi/daktari) lakini utapata matibabu na hiyo ndio dharura ambayo utaiona kazi ila kiimani ni ibada
Hospitali itakuwa wazi kwa dharura na sio full operational kama ilivyo siku nyingine zote kutoa fursa kwa wafanyakazi wote kupata pumziko kama ilivyo msingi wa sabato ya kweli na ya Bwana
Akili za binadamu kumtafakari Mungu ,ni sawa na mtoto mchanga anayerushwa juu na mama yake kisha anamdaka huku mtoto akiwa na furaha na kicheko.Thibitisha kwamba hayupo?