Viongozi wa Kitaifa CHADEMA wamwagia sifa Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel wakati wa mazishi ya Derick Magoma

Viongozi wa Kitaifa CHADEMA wamwagia sifa Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel wakati wa mazishi ya Derick Magoma

Nenda huko! Kwani Msaada aliokuwa anautoa Dk. Molell alikuwa anautoa kama yeye au kama Serikali? Unafikiri kibali Cha kwenda kutibiwa nje alikitoa mfukoni mwake? Hawataki maridhiano lakini wanapenda misaada kutoka Serikali hiyo hiyo wanayoikataa. Wapumbavu wakubwa hao Lissu na genge lake la wanafiki!

Leta swali jengine!
LISSU NI MHUNI TU KAMA WALIVYO WAHUNI WENGINE
 
Kuna waandishi Wapumbavu mnooooo, kwahio badala ya kuandika Mambo ya Msiba nyie mnaangalia namna ya kujipigia kampeni. Shame on you
 
Back
Top Bottom