Nenda huko! Kwani Msaada aliokuwa anautoa Dk. Molell alikuwa anautoa kama yeye au kama Serikali? Unafikiri kibali Cha kwenda kutibiwa nje alikitoa mfukoni mwake? Hawataki maridhiano lakini wanapenda misaada kutoka Serikali hiyo hiyo wanayoikataa. Wapumbavu wakubwa hao Lissu na genge lake la wanafiki!
Leta swali jengine!