Tetesi: Viongozi wa Magufuli na Kikwete wenye HISA Dangote Cement ndiyo TATIZO Magufuli fanya jambo

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
8,106
Reaction score
3,966
Kutokana na habari zilizodhibitishwa. Ni kuwa TATIZO la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Cement ni zaidi ya yale tunayoambiwa.

Habari hakiki toka menejiment ya kiwanda na source kutoka ndani serikalini zinasema kumekuwa na VUTA ni KUVUTE kati ya viongozi walio katika SERIKALI ya MAGUFULI,na viongozi WALIOKUWA katika serikali ya awamu ya nne ya KIKWETE walio na HISA katika Dangote Cement.

Kambi hizi mbili zimekuwa ZIKING'ANG'ANIA na kupigana kisiasa/Kimaslahi Ni NANI aliye na SAUTI ya UAMUZI kuhusu nini kifanywe Dangote Cement na kuwaacha menejimenti ya kiwanda hicho katika cross fire na hivyo KUSABABISHA kufungwa kwa kiwanda hicho kwa kisingizio cha marekebisho ya muda mfupi. Hivyo kuhatarisha AJIRA za wananchi.

Jambo hili limewaacha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Magufuli WAKISHANGAA wasijue la kufanya!

Magufuli asipolivalia njuga na KUTOCHANGANYA URAFIKI na UTENDAJI basi ndoto za VIWANDA nchini hazitatimia. Maana baadhi ya viongozi wake na wa Kikwete watagombania MASLAHI yao na SI YA TAIFA!
Chanzo Citizen 30/Nov/2016
 
Kuna wajinga walikuwa wanasema Kiwanda kinataka kisikilizwe na bado tutajua yote!
 
Basi kama kweli kuna hili jambo ni ajabu sana na rais anatakiwa kufuatilia hili suala
 
Tuondolee uzushi na udaku wako. Maelezo yameshatolewa shida iko wapi, hujawasikia TPDC? Unataka kuleta siasa kila kitu
 
Habari za kutengeza,vile viwanda vimeanza kazi tena ya kutengeza habari.

Hata kama kweli wanahisa,so what?,au mnadhani bado tuko enzi za ujamaa nini?,
rais hawezi ingilia maamuzi ya kampuni binafsi,wakitaka hata kesho wanang'oa mitambo na kuihamishia msumbiji,mnabaki na majengo ya kuanzisha shule ya kata.
 
Najua mwezi wa kwanza hakosi humo
Wee jamaa una moyo, kuna jamaa mmoja naskia ana waganga wake binafsi nyumbani kwake, yaani unaambiwa ana chumba chake cha kama futi 6*6 kakijaza mahela!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…