Kutokana na habari zilizodhibitishwa. Ni kuwa TATIZO la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Cement ni zaidi ya yale tunayoambiwa.
Habari hakiki toka menejiment ya kiwanda na source kutoka ndani serikalini zinasema kumekuwa na VUTA ni KUVUTE kati ya viongozi walio katika SERIKALI ya MAGUFULI,na viongozi WALIOKUWA katika serikali ya awamu ya nne ya KIKWETE walio na HISA katika Dangote Cement.
Kambi hizi mbili zimekuwa ZIKING'ANG'ANIA na kupigana kisiasa/Kimaslahi Ni NANI aliye na SAUTI ya UAMUZI kuhusu nini kifanywe Dangote Cement na kuwaacha menejimenti ya kiwanda hicho katika cross fire na hivyo KUSABABISHA kufungwa kwa kiwanda hicho kwa kisingizio cha marekebisho ya muda mfupi. Hivyo kuhatarisha AJIRA za wananchi.
Jambo hili limewaacha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Magufuli WAKISHANGAA wasijue la kufanya!
Magufuli asipolivalia njuga na KUTOCHANGANYA URAFIKI na UTENDAJI basi ndoto za VIWANDA nchini hazitatimia. Maana baadhi ya viongozi wake na wa Kikwete watagombania MASLAHI yao na SI YA TAIFA!
Chanzo Citizen 30/Nov/2016