Tetesi: Viongozi wa Magufuli na Kikwete wenye HISA Dangote Cement ndiyo TATIZO Magufuli fanya jambo

Tetesi: Viongozi wa Magufuli na Kikwete wenye HISA Dangote Cement ndiyo TATIZO Magufuli fanya jambo

Kutokana na habari zilizodhibitishwa. Ni kuwa TATIZO la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Cement ni zaidi ya yale tunayoambiwa.

Habari hakiki toka menejiment ya kiwanda na source kutoka ndani serikalini zinasema kumekuwa na VUTA ni KUVUTE kati ya viongozi walio katika SERIKALI ya MAGUFULI,na viongozi WALIOKUWA katika serikali ya awamu ya nne ya KIKWETE walio na HISA katika Dangote Cement.

Kambi hizi mbili zimekuwa ZIKING'ANG'ANIA na kupigana kisiasa/Kimaslahi Ni NANI aliye na SAUTI ya UAMUZI kuhusu nini kifanywe Dangote Cement na kuwaacha menejimenti ya kiwanda hicho katika cross fire na hivyo KUSABABISHA kufungwa kwa kiwanda hicho kwa kisingizio cha marekebisho ya muda mfupi. Hivyo kuhatarisha AJIRA za wananchi.

Jambo hili limewaacha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Magufuli WAKISHANGAA wasijue la kufanya!

Magufuli asipolivalia njuga na KUTOCHANGANYA URAFIKI na UTENDAJI basi ndoto za VIWANDA nchini hazitatimia. Maana baadhi ya viongozi wake na wa Kikwete watagombania MASLAHI yao na SI YA TAIFA!
Chanzo Citizen 30/Nov/2016
Thread za kizushi kama hizi nomezoea kuziona kwa lizaboni.
 
pamoja na kuwa sikubaliani na hizi habari,
nikufungue macho tu kwamba as long as hii dunia bado ipo na wanadamu ndani yake,wapiga deal wataendelea kuwepo,mafisadi,walanguzi,wezi,vibaka etc wataendelea kuwepo,
magufuli awepo ama asiwepo

Unasema hukubali kuwa wapo halafu unasema watakuwepo Magufuli akiwepo au asipokuwepo; it is a contradiction!!
 
Halafu kuna mjinga mmoja anatuambia tatizo sijui ni gololi za nini ndio maana kimefungwa

Hivi kwanini tunafanyana watoto kiasi hiki ?

Yaani mtu kwa sababu umepewa dhamana ya kuongoza basi ndio uone wote hatuna mavuzi bado ni vikojozi tu ? Wakati kengele zinaning'inia hapa zinakaribia kukatika
 
Siasa iliingizwaa kwenye hiki kiwanda tangu mwaka jana

Mchwa wamevamia kiwanda
 
Thread za kizushi kama hizi nomezoea kuziona kwa lizaboni.

Entim.
Ni vizuri kuwa na mawazo yaliyowazi. Open minded ili ikiwezekana soma chanzo cha habari. Kabla ya kuzitupilia mbali kama uzushi.
Tukiishi kwa kukana/denial kila jambo badi hatutatitakuwa wazalendo wenye kuipenda nvhi yao!
 
Unasema hukubali kuwa wapo halafu unasema watakuwepo Magufuli akiwepo au asipokuwepo; it is a contradiction!!
kuhusu ishu ya hisa sidhani kama ni kweli,
kuhusu wezi,wala deal wapo na watakuwepo tangu dunia inaumbwa wapo,nilikuwa namjibu huyo anaejidanganya kuwa jpm atakomesha,yeye atafanya yake mda wake utaisha,tatizo litakuwa palepale,huo ndo uhalisia
 
1480536580562.jpg
 
Sasa naanza kuelewa ni kwa nini tulikuwa na Twiga cement, Mbeya-Tembo cement na Simba-Tanga cement lakini serikali ya wakati huo ikajikomit kuwauzia Dangote cement gesi kwa bei rahisi badala ya bei ya soko! Maajabu zaidi ni kuwa huo mkataba 'ulisainiwa' wakati gesi tarajiwa ikiwa bado iko chini ya bahari (i.e. haijaanza kuchimbwa).
 
Back
Top Bottom