Viongozi wa mifuko ya hifadhi wanashindwa kubuni hata utaratibu wa kutuma sms kwa wanachama kuwakumbusha makato? Wanasubiri ustaafu wakunyime mafao

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Benki wanaweka utaratibu wa taarifa kwa umma ikiwemo kupitia mfumo na kukumbusha kama kuna deni, kuna huduma mpya au chochote cha kukuweka karibu nao.

TRA na Mamlaka za maji wanakutumia ujumbe wakiwa wanakudai au umepata huduma yao.

Polisi wanatumia ujumbe mfupi kwa umma kutoa taadhari za kiusalama

Mifuko ya hifadhi ya jamii hawana cha ujumbe wa sauti wala ujumbe mfupi; kwanza hata namba za simu za wanachama kwao siyo issue. Ukitaka huduma kwao funga safari nenda ofisini kwao. Ukifika ofisini kwao wanakuambia nenda kwa mwajiri kamwambie hakuna mapato yako ya mwezi April ,2010. Hakuna kujisumbua

Lakini sasa hapo siyo shida, anastaafu kama mtumishi wa serikali badala wakupe stahiki zako wanakuambia miaka miwili ya awali wakati unaanza kazi serikali haikutuletea mkakato yako rudi serikalini.

Unawauliza wao siyo serikali? Unawaambia serikali au hata mwajiri binafsi alipaswa kuchangia kiasi gani? Wanakokotoa unasikia milioni moja labda ya nusu. Unawaambia nipeni utaratibu mimi nilipe then niachane na usumbufu, wanakijibu wewe huwezi kuilipia serikali.

Wakati wanakijibu hivi hawajui kwamba unakwepa gharama za kula hotelini na nauli, wao wanaamini kila mwanachama wao anapostaafu anaishi mjini.

Kwanini taarifa za madeni ya wanachama ya kwake na yale ya serikali ni siri kwao? Kwanini wasiwe na utaratibu wa kusafisha database yao kusiwe na madeni? Kwa sababu mwajiri ameweka mtu wakifikisha michango kwenye mifuko ya jamii kwanini wasiqawajibishe wasiotumia wajibu?

Watu wengi wanasumbuliwa mafao kwa mapungufu ya mwajiri na uzembe wa makusudi wa mifumo ya jamii. Wakati mwingine watumishi wa mifuko ya jamii wanakula na waajiri wa sekta binafsi wasipeleke makato na hii ninazo clip nimewarekodi hawa watu wakifanya hivyo Mwanza. Unawauliza kwanini wanasema kila mtu ale urefu wa kamba yake.....

.
 
Nafikiri ni by design hiyo mifuko hufanyia kazi gizani, ili mfayakazi asiwe na mazoea nao azunguke sana akistaafu mpaka aje kuzipata pesa zake.
 
Halafu tangia Sheria ibadilike kuwe na mifuko miwili tu,Kuna shift ya wafanyakazi kutoka mfuko mmoja kwenda mfuko mwengine Lakini Sheria haijazungumza michango uliyokwishachanga itakua treated vipi unapofika wakati wa kustaafu, wapi utadai pesa zako zilizopo kwenye mifuko miwili tofauti na utalipwaje? Hii itakuja kuleta mkanganyiko mkubwa maana Kuna sehemu unajikuta ulichanga Lakini haijafika ile miaka ya kisheria kua pensionable ukahamishwa na sio fault yako nimabadiliko ya Sheria wakakuanzisha mfuko mpya nako hujakidhi mpaka ujumlishe michango ya mifuko yote miwili hapo sijui itakuaje?
 
Watu website hata wzkisoma elimu ya vyuo vikuu uwezo wao wa ufikiri haubadiliki.
 
Back
Top Bottom