Viongozi wa nchi hubeba baraka ama laana tunapotoa neno tuangalie ni baraka kwa nchi na jamii nzima

Viongozi wa nchi hubeba baraka ama laana tunapotoa neno tuangalie ni baraka kwa nchi na jamii nzima

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Ndio maana Bible inasema tuheshimu mamlaka ya nchi.

Ukisoma zaidi utaona viongozi wamepewa baraka za nchi.

Ila pale wanapoweza kuharibu kwa maneno machache basi hutengeneza laana..

Maombi yangu kwa Mungu amsaidie kila mkusanyiko ulipo neno la baraka litakase milele na nchi ibaki kwenye baraka zake.
 
Back
Top Bottom