EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?