EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Wafungulie tupambane huko juu kwa juuInashangaza wengine kuzuiwa wakati wengine wakidemka na twitter handle. Mh Rais anaogopa kukutana masuala mazito yanayohojiwa kisomi
Unaona eeh sa sijui wanataka tupataje hizi habari zao wengine mpaka tutumiwe FB au wasap
Mbona kama ni za hapahapa nchini?Huo ujumbe ni kwa ajili ya mataifa ya nje na hasa yale makubwa.
Akitaka kuwasiliana na wananchi wa kawaida atatokea moja kwa moja kwa wananchi au TBC.
Tuna tatizo kama na Rais na yeye pia anatumia VPN kama sisi.Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
Ni wapuuzi sana hawa jamaaMental sickness or confusion!
Hatumii VPN ye hafungiwi hana mipaka ya matumiziTuna tatizo kama na Rais na yeye pia anatumia VPN kama sisi.
Labda wewe mi najaribu inazunguka tu ila nikiwasha VPN mzigo fasta unafungukaTwitter sasa hivi naipata bila VPN
Umewaza mbali sana l ndugu! Hili ni swali fikirishi na linahitaji majjbu kabisa!Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
Bila picha wala video, yes, inafunguka maandishi tu. Ukitaka kila kitu kifunguke vpn lazimaTwitter sasa hivi naipata bila VPN
Nimeona TWITTER ya Mh. SAMIA NIKASHANGAA SA ANATAKA WANANCHI WASOMAJE UJUMBE WAKE??Umewaza mbali sana l ndugu! Hili ni swali fikirishi na linahitaji majjbu kabisa!
Labda Mama hajui kama bado tumefungiwa! Tupate mtu amtonye, uchaguzi ulishaisha zamani, tulishakubali matokeo japo kinyonge lakini mawasiliano bado tu yamebanwa!!!Nimeona TWITTER ya Mh. SAMIA NIKASHANGAA SA ANATAKA WANANCHI WASOMAJE UJUMBE WAKE??