Afrikasana
JF-Expert Member
- Oct 27, 2021
- 320
- 288
Viongozi wa NHIF chuo kikuu cha Dodoma wamekuwa wabishi, wamekosa huruma na utu hivyo kusababisha mateso makubwa kwa baadhi ya wanachuo Kwakiutl was I lists michango ya bima ya afya sehemu husika.
Tangu mwaka jana baadhi ya wanachuo hawajapata vitambulisho vyao vya bima ya afya. Kumekua na panda shuka na nenda rudi kumbe hawakuwasilisha michango ya wanachuo NHIF makao makuu.
Uongozi wa NHIF Dodoma wamesema chuo hakijawasilisha michango ya wanachuo kwao.
Ingawa wameshauri kwamba michango ya mwaka jana iwasilishwe kama ya mwaka huu kwakua mwàka jana fedha hizo hazijatumika lakini NHIF UDOM wamekataa na wanadai haiwezekani. Hata hivyo baada ya kufuatilia tena leo NHIF UDOM bado wamegoma kuwasilisha michango hiyo.
Hapa unaweza ukajiuliza je fedha hizo zipo kweli au zishaliwa?
Mamlaka husika saidieni wanachuo wananyanyasika ikiwa hela zimeshatolewa tangu mwaka jana
Mambo haya yanatokea sehemu ambazo kuna wizi,uzembe,rushwa au kutofanyika ukaguzi wa mara kwa mara
UDOM badilikeni acheni kufanya kazi kwa mazoea