carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Maafisa wakuu kutoka Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan wanatarajiwa kukutana na viongozi wa Iran mjini Tehran kujadili usalama wa kikanda huku mvutano wa Mashariki ya Kati ukiendelea kuongezeka.
Mkutano huo unafanyika wakati mashambulizi ya waasi wa Houthi dhidi ya Saudi Arabia yakiongezeka na mvutano kati ya Marekani na Iran ukizidi kuwa mkali. Qatar na Pakistan zimeendelea kusukuma juhudi za upatanishi ili kuzuia mzozo huo kugeuka vita pana zaidi vya kikanda.
Nchi hizo tatu zimesema mazungumzo hayo yanalenga kupunguza mivutano na kuimarisha usalama na uthabiti wa eneo hil
Chanzo : Dw swahili