carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Watashindwa tuNadhani dunia ijiandae kusubiria mnyukano mpya ndani ya nchi ya Iran. Israel na US tayari wameshasema watarudi kuipiga Iran mwezi ujao.
Awamu hii umedhamiria kuudidimiza kabisa uchumi wa Iran.
Mwezi ujao? Trump atakua hana mamlaka hayo maana atapoteza bunge zote mbili, pia Netanyahu hatokua madarakani so hiyo ndio bye bye.Nadhani dunia ijiandae kusubiria mnyukano mpya ndani ya nchi ya Iran. Israel na US tayari wameshasema watarudi kuipiga Iran mwezi ujao.
Awamu hii wamedhamiria kuudidimiza kabisa uchumi wa Iran.
😁😁😁 awamu zilizopita hawakutaka kuudidimiza😁Nadhani dunia ijiandae kusubiria mnyukano mpya ndani ya nchi ya Iran. Israel na US tayari wameshasema watarudi kuipiga Iran mwezi ujao.
Awamu hii wamedhamiria kuudidimiza kabisa uchumi wa Iran.
Kila la kheri kwao