Viongozi wa serikali watumie saiti zao kukumbusha majukumu ya wazazi kwenye maendeleo ya kitaaluma kwa watoto wao mkoa wa Manyara

Viongozi wa serikali watumie saiti zao kukumbusha majukumu ya wazazi kwenye maendeleo ya kitaaluma kwa watoto wao mkoa wa Manyara

Angyelile99

Member
Joined
Oct 9, 2023
Posts
89
Reaction score
164
Dah. aisee kuna changamoto kubwa sana watumishi wa umma haswa waalimu ambao sio wazawa wa mkoa wa manyara.

Kumekua na changamoto ya wazazi kusikiriza taarifa wanazo ambiwa na watoto wao zisizo na ukweli wowote juu ya mambo yanayo endelea shule. vijana wengi wamekua ni wavivu wa kuhudhuria shule lakini pia kutunga taarifa za uongo zenye Lengo la kuwashawishi wazazi wao ili waache shule.

Na kwasababu ya ufuatiriaji mdogo wa wazazi, hivyo wamekua wakizichukua kama zirivyo bira ufuatiriaji wa haina yeyote.. hivyo kuna haja ya serikali kuliangalia hili kwa namna moja ama nyingine.
 
Back
Top Bottom