Viongozi wa Simba achane kutufanya sisi washabiki wajinga, Davis Fadlu akifukuzwa na Matola naye afukuzwe

Viongozi wa Simba achane kutufanya sisi washabiki wajinga, Davis Fadlu akifukuzwa na Matola naye afukuzwe

Huu ndio upuuzi wa viongozi wa Simba, timu ikifanya vibaya wanaefukuzwa ni kocha mkuu, kocha wa makipa na kocha wa utimamu wa mwili.

Dunia kote hakuna kocha msaidizi wa kudumu, shida ya Simba ipo kwa viongozi ambao hawazingatii weledi.
Mnaanza kutafutana mmedraw mechi Moja tu, si mlisema ubaya ubwege yanga hana chake msimu huu? Tulieni sasa kazi ndio imeanza
 
Mnaanza kutafutana mmedraw mechi Moja tu, si mlisema ubaya ubwege yanga hana chake msimu huu? Tulieni sasa kazi ndio imeanza
Ndugu sijawah Kuona kocha msaidizi wa kudumu......
 
Kuhusu Seleman Matola hata mimi nimekuwa najiuliza miaka mingi kuwa ana kitu gani yeye kubaki benchi la ufundi miaka yote hiyo. Hii ni hatari sana maana kwasababu asipoelewana na kocha mkuu inakuwa rahisi kumhujumu na kumfitinisha afukuzwe .

Jamaa kakomaa Simba miaka utafikiri ni timu ya familia yake. Kama ni suala la mzawa wa Simba mbona tunao wengi tu
 
Back
Top Bottom