Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu.
Kila sehemu ina mila na tamaduni zake. Ni kwa kuwashirikisha na kuwathamini tu wenyeji wa eneo husika ndiko huleta mafanikio. Wanajua wapinzani wetu wanakojificha, hivyo kutoka kwao uwezekano wa kuonyeshwa mlango wa kutokea ni mkubwa.
Tuache dharau na utamaduni wa mikoani na tuongeze ushirikishaji. Mbadilike la sivyo subirini kuondolewa kwa fedheha.