Viongozi wa Simba anzieni hapa: Inonga aliuza mechi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kama kweli ya jana yamewauma anzieni kum probe henock inonga hata kama kufanya umafia kampuni za simu ku trace mawasiliano yake
Kama wawa alivyochomesha jwaneng jana inonga kakunja pesa na mission yake tangu mwanzo ilikuwa apate red card ilivyoshindikana akaamua kujiabisha mazima
Mtamlaumu matola bure

mpumzisheni huyu mcongo keshaanza kula hizi hongo hataacha kamwe hadi avune pesa za kujenga mi mansions kinshasa kupitia michezo michafu

Halafu washabiki pumzikeni kwenda uwanjani waacheni kama mechi kumi wacheze viwanja vitupu

Na huko mikoani wakija punguzeni shobo mdundo na mabodaboda yenu machafu kwanza huwa hawasalimii ukiacha kagere.
 
Narudia tena inonga awekwe mtu kati viongozi kama wako serios wa m probe vizuri hawataamini macho yao
 
Inonga hajaiuza mechi aiseeh, kosa kubwa kwenye backline lilianza kwa kumpanga Israel Mwenda upande wa kapombe. Yule dogo hakuna mpira alioenda kukaba akauchukua, yote alikuwa anapihwa chenga mpaka Inonga ndo anaenda kusaidia, kwahiyo ilikuwa ni lazima azidiwe tu huyo Inonga.

Mashambulizi karibia yote yamepitia kwa Mwenda, dogo hata kupiga pasi hajui, cross hapigi....shenzi sana yule.

Unamtoa Duchu kwa mkopo ili ubakize Mwenda, mimi mpaka leo huwa sielewi kabisa.
 
Hujawahi kumiliki akili. Na waaokusikiliza huwa ni Mazuzu wenzio.
Mods toa hii takataka humu apeleke FB.
 
Mbali ya wazo zuri kuhusu Duchu lakini nakusahihisha. Hakuna goli lililopitia kwa Mwenda, yote mawili ni kukosekana kwa DM mwenye akili. Umekuja na lawama kwa Israel kwa sababu ulilaumu kabla ya mechi kuanza, Lakini mbona Job alikuwa anacover nafasi ya Djuma Shaban na hakuchoka? Je, Inonga kuna tukio lolote alilalamika kuzidiwa na majukumu sababu ya under performance ya Mwenda? Huyu dogo tumtie moyo ni mzuri, Na kocha Jana alifanya vema kumuanzisha ili ajiamini zaidi. Kwangu hakuna jambo baya alilofanya zaidi ya nafasi mbili za Morrison.
 
Morrison au Mayele?
 
Na bado October mtazidi kupoteana.
 
Peleka upumbavu wako chooni ndiyo umeandika nini sasa,tumtie moyo kwani simba ni kanisa au sober house,you are a dunderhead
 
Isra ni kichaka kile,hana nguvu,akipoteza mpira kuurudisha tena hawezi, Ndio maana hata Inonga alikua analalamika kama uliona,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…