Viongozi wa Simba anzieni hapa: Inonga aliuza mechi

Msimlaumu Inonga mlianza kujichulia wenyewe baada ya kuingia na jeneza lenu uwanjani, lile jeneza ndo lililowazika na litawazika mazima mpaka mje kufufuka na yesu atakuwa anarudi duniani kwa mara nyingine, Mungu adhiakiwi ata siku moja
 
Ww sio shabiki ni mfuata pepo.
Jana aliyezingua ni kocha. Period!
Huyu ndio wakubeba lawama zote.
Tuachie Simba nenda kacheze unakocheza'ga'
 

Hii ndiyo Tanzania ninayoijua. Vijana wamejawa na fikra finyu kweli kweli. Leo hii Inonga ameuza mechi? Kubali kushindwa toa funza kichwani mkuu.

Mpira ni mpango. Ina maana hata kule ulaya anaefungwa anakuwa kauza mechi?[emoji23]
 

Ulitegemea Inonga atawazuia wote wawili Mayele na Aziz Ki?
 
Hatuna striker hatuna CDM. Kwangu mm ni hayo tu. Mzungu ni wale mastriker wategeaji, waviziaji wanaotaka CAM mkali sana anayeweza kupenyeza mipira kwake naye Hatuna. Striker wa namna hii ni liability timu ikiwa haina mpira ila ni hatari timu ikiwa na mpira na CAM mkali.
 
Kocha ni idiot ,Kyombo anakuwaje striker kwa mechi yenye presha kama ile
anawafurahia kiyombo na boko sababu mtoto wa dada yake anaonekana mkali kuliko wao thats why anmhofia moses phiri na njia rahisi ni kumsukumia jukwaani huko asikae hata benchi kama aliyofanya jana
 
Ulitegemea Inonga atawazuia wote wawili Mayele na Aziz Ki?
sikutarajia kama angekuwa anaisaka ile red card kwa juhudi kubwa namna ile, endeleeni tu kumtetea pesa za hongo tamu sana, utakula milion 50 kesho unaletewa milion 70 sababisha penalty mechi ya kimataifa na upate red card kwenye mechi ya kimataifa tuwacheke simba baada ya muda mfupi unavuna mamilioni kirahiiisiii

Hata ukija kustukiwa wako watakaokutetea wakisema ni mambo ya mpira tu na ikibidi hata watakusajili kabisa kama zawadi ya kuwatumikia
 
Tushike lipi sasa! Inonga kauza mechi! Kakolanya kauza mechi! Au kocha alifanya makosa kwa kumtoa Chama na kumuingiza kiungo punda Mzamiru Yasin!!
 
Sio Inonga tu, timu nzima na viongozi wamepawa bahasha na GSM Kwani umesahau makombe yote yanga amechukua Kwakutembeza bahasha??😂😂😂
 
Hujawahi kumiliki akili. Na waaokusikiliza huwa ni Mazuzu wenzio.
Mods toa hii takataka humu apeleke FB.
Huyu mpumbavu mlikuwa mnamchekea alipokuwa analeta nyuzi za kuikashifu Yanga,sasa anaanza kuwatafuna.
 
Huyu mpumbavu mlikuwa mnamchekea alipokuwa analeta nyuzi za kuikashifu Yanga,sasa anaanza kuwatafuna.
we mpuuuzi nini nyuzi za utopolo zinahusiana nini na ku alert uongozi kuhusu wasaliti, jinga kabisa weeeee
 
Naona dawa imekuingia umeacha kutuma zile nyuzi zako z udaku za kuiponda Yanga,sasa hivi upo bize kufanya uasi Simba
Itakuwa ni mara yako ya kwanza kuona uasi kwenye teams za kariakoo ? au umeanza kushabikia mpira 2018?
 
Sio Inonga tu, timu nzima na viongozi wamepawa bahasha na GSM Kwani umesahau makombe yote yanga amechukua Kwakutembeza bahasha??[emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mo pia tumemuhonga ashindwe kumsajili Manzoki[emoji1]
 
Inonga ni mzuri akiwa anaona gemu yaani akiwa mtu wa mwisho kabla ya kipa. Ana uwezo mzuri wa ku anticipate movement za mpira na straikers. Sasa jana Qattara ndo kamaliza Inonga akabaki kukaba, kutumwa na Qattara. Mara nyingi akitumwa kushoto. Qattara si mwepesi ktk sprinting na tacling. Nabi, alivyomsoma akamwingizia Morrison ili amchose zaidi. Gemu ikasishia hapo.
 
Inonga ndie anaye chukua rushwa kuwafurahisha Wakongo wenzake. Yanga ni ya Wakongo na wanajua mpira.
Simba mnasajiri wachezaji wa Zambia ambao ni vijitu tu ambavyo havina shibe ya chakula.

Vichezaji hata nguvu havina. Yanga watufunge tu hadi akili itukae sawa.
 
Inonga yeye ni kukata viuno tu mbona Bangala au Juma shabaani hawakati viuno uwanjani.
Inonga yuko pale kuwafurahisha Wakongo wenzake na hana mapenzi na Simba.
Na anataka kwenda Yanga kwa Wakongo wenzake. Mnamwachaje nje beki bora wa Kenya Unyago ?

Tunamtaka Onyango. Mwondoeni Inonga Mkongo wa Yanga.

Mechi ya Afrika kusini alikosa Penati kwa makusudi kabisa.
Mkongo Inonga na Mugalu lao moja.

Wakongo wanaishi kwa rushwa sana. Hawawezi kuchomoka kwa mpunga wa GSMD.

Inonga aondoke ni msaliti. Simba kama tunawategemea Wakongo tumeisha.
Kwao ni vita tu. Hapa wanamapenzi na Yanga tu

AS Vita na TP Mazembe wote ni Yanga ndio maana wanawaleta hadi wachezaji wao kwa mkopo Yanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…