Viongozi wa Simba hawana elimu na hawajui mpira-Uchebe

pakao

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
381
Reaction score
533
Sasa nimeanza kumuelewa alie kuwa kocha wa Simba Patrick Ausem kuwa viongozi wengi wa bodi ya wakurugenzi hawana elimu na upeo wao wa mpira ni mdogo sana.

Ukiitizama simba kwa misimu mitatu matatizo yake ni yale yale ila utawasikia hao vilaza wakijisifu kuwa tunataka kufika mbali kimataifa.
 
Hapo umeeleza nini sasa? Maana mtu akitafuta ujumbe hapo, atagundua mwenye matatizo ya akili ni wewe
 
Sasa nimeanza kumuelewa alie kuwa kocha wa Simba Patrick Ausem kuwa viongozi wengi wa bodi ya wakurugenzi hawana elimu na upeo wao wa mpira ni mdogo sana.
Maneno haya yanashabihiana Kwa ukaribu mno na maneno ya mwenyekiti wao msitaafu ndugu Ismail Aden Rage Kwa kuwaita mashabiki wa Simba ni mbumbumbu
 
.
FB_IMG_1655579378566.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sasa nimeanza kumuelewa alie kuwa kocha wa Simba Patrick Ausem kuwa viongozi wengi wa bodi ya wakurugenzi hawana elimu na upeo wao wa mpira ni mdogo sana.
Siku moja utamuelewa Karia kuhusu viongozi wa Yanga kuwa na vinyesi kwenye nguo zao
 
Yanga na ccm ni kitu kimoja wengi ni oya oya wana uwezo mdogo sana kuchanganua mambo
Kubweka bweka ni tabia ya MACHADEMA sio yanga wala CCM. Unyumbunyumbu huoo
 
Sasa nimeanza kumuelewa alie kuwa kocha wa Simba Patrick Ausem kuwa viongozi wengi wa bodi ya wakurugenzi hawana elimu na upeo wao wa mpira ni mdogo sana.

Ukiitizama simba kwa misimu mitatu matatizo yake ni yale yale ila utawasikia hao vilaza wakijisifu kuwa tunataka kufika mbali kimataifa.
Bora huyo alisema viongozi. Luc Enyamel alisema washabiki wa Yanga ni kama mbwa au nyani.... Wanapiga kelele tu.
 
Back
Top Bottom