Tukiacha ushabiki viongozi wa Simba waliweka mtego na Bodi ya ligi imejaa kwenye mfumo, kiuhalisia hakukuwa na sababu yeyote ya msingi ya Simba kugomea mechi.
Lakini kwa Sasa Hivi huwezii kusema Simba aligomea mechi ila Bodi ya ligi iliahirisha mechi kwa hiyo mpaka saivi Simba kwa kufuata kanuni haina Kosa lolote.
Ninachokiona licha ya yanga kusema haitocheza mchezo mwingine ila kiuhalisia itacheza tuu maake ikumbukwe kesi ya alikamwe haijaamliwa kwa hiyo yanga ikikataa kutumia busara na alikamwe atakula Mvua.
TFF kete waliyonayo saivi hii mechi itachezwa wakati ambao matokeo ya hiyo mechi hayataamua bingwa, watapanga wakati ambao tayari bingwa wa NBC ameishajulikana.