Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Am informed that kesho jioni viongozi wa chama langu pendwa will have a detailed discussions with Adebayor ambaye ametangaza kutochezea RS Berkane msimu ujao.
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu.
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu.