Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,450
- 6,496
Ni mambo ya hovyo sana yaani unaanza kuuza tiketi kinyemela ilihali hujapewa go ahead ya uwanja kufunguliwa
Tunafahamu uwanja ulifungiwa na jumapili maafisa wa CAF walikuja kuukagua kabla hawajatoa majibu simba kwa maksudi wakaanza kuuza tiketi ilihali hawajapewa go ahead
Viongozi wa simba acheni ujanja ujanja wale sio mguto na kasongo ambao mnawamudu waambieni mashabiki wenu official mechi imehamishwa kigugumizi cha nini au mnatupia lawama za nini