Viongozi wa Simba mmemkosea Mgunda

Simba imeshapoteza ile ladha yake
 
hata Mechi aliyotufunga Azam Mgunda alikuwa anakodoa macho tu kaja kufanya sub ya kumuingiza Sakho dakika za lala salama
 
Imeanza kunyesha tunaona mnamovuja...Kocha bado hajajua namna ya kupanga kikosi..analabdia tu...
 
Amewaendea tanga 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…