Viongozi wa Simba mmeona Yanga wanafuatilia ushauri wangu? Sasa wanamalizana na Kevin Nashon

Viongozi wa Simba mmeona Yanga wanafuatilia ushauri wangu? Sasa wanamalizana na Kevin Nashon

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimewahi kuwaomba na kuwashauri mumsajili Kevin Nashon ambaye naskia Yanga wako mbioni kumalizana naye, mpira wengine tunaujua nyie mnatuchukulia poa tu.

Niliwahi kushauri kuhusu Mudathiri mkanipuuza, sasa hivi nawashauri tena Gerad Gwalala wa Coastal Union ni mali, Mtenje Albano ni mali, Maroun Tchakei ni mali pia.
 
Nimewahi kuwaomba na kuwashauri mumsajili Kevin Nashon ambaye naskia Yanga wako mbioni kumalizana naye, mpira wengine tunaujua nyie mnatuchukulia poa t.

Niliwahi kushauri kuhusu Mudathiri mkanipuuza, ss hv nawashauri tena Gerad Gwalala wa Coastal Union ni mali, Mtenje Albano ni mali, Maroun Tchakei ni mali pia
Maroun Tchakei☝️
 
Kwa hiyo kila mchezaji unayempoint wewe asajiliwe na Simba? Wewe wa wapi wewe ?
 
Nimewahi kuwaomba na kuwashauri mumsajili Kevin Nashon ambaye naskia Yanga wako mbioni kumalizana naye, mpira wengine tunaujua nyie mnatuchukulia poa t.

Niliwahi kushauri kuhusu Mudathiri mkanipuuza, ss hv nawashauri tena Gerad Gwalala wa Coastal Union ni mali, Mtenje Albano ni mali, Maroun Tchakei ni mali pia
Mchezaji mwenyewe nguvu nyingi, mi faulo kibao wala simkubali. Aende Simba.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Kelvin nashoni ni kiungo mkabaji ambaye hafikii hata robo ya uwezo wa kagoma so hatuhitaji kuwa na nashoni kwasababu tunaye kagoma. Mtinje albano miguvu mingi na rafi nyingi bila kutumia akili kuhusu gwalala yes anaweza kutufaa but siyo hitaji la msingi. SHIDA YETU KUBWA NI NAMBA 10 NA WINGA MMOJA VERY PRODUCTIVE MBADALA WA MUTALE AU KIBU AJE KUSAIDIANA KAZI NA MPANZU.
 
Sasa Yanga kumtaka hiyo ndio sababu yakuja hapa kusema unaujua mpira
Simba ina Kagoma na Mzamiru viungo wakabaji wazawa Nashoni ameachwa mbali na viungo wote hao unategemea Simba imgombanie wa nn?
Yanga kwenye kiungo cha chini kwa wazawa ni Andambwile tu ambaye huyo sasa ndio anaweza kuwa level sawa na Nashoni kwahiyo ni sahihi wao kumtaka huyo Dogo
 
Back
Top Bottom