Viongozi wa Simba mnashindwa badilisha hadi stickers za basi la timu? Au hamuoni zimepauka?

Viongozi wa Simba mnashindwa badilisha hadi stickers za basi la timu? Au hamuoni zimepauka?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Yani hadi wekundu umefubaa imekuwa kama orange

1693339003872.png

 
Gamondi kawavuruga,watasahau kuoga
 
Basi linaonekana limechoka! Yaani ukimuambia mtu hiyo timu ina mdhamini anayetoa bilions of money kwa mwaka, hata huwezi kuamini.

Kila msimu wanalipa mamilioni ya shilingi kwa wachezaji magarasa walioshindwa kuendana na kasi ya timu! Halafu wakati huo huo hata basi tu la kueleweka la timu hawana.
 
Back
Top Bottom