Basi linaonekana limechoka! Yaani ukimuambia mtu hiyo timu ina mdhamini anayetoa bilions of money kwa mwaka, hata huwezi kuamini.
Kila msimu wanalipa mamilioni ya shilingi kwa wachezaji magarasa walioshindwa kuendana na kasi ya timu! Halafu wakati huo huo hata basi tu la kueleweka la timu hawana.