Viongozi wa simba mpira haundeshwi kihuni hivyo! Mchezaji akiumia ni jukumu la timu kumgharamia matibabu!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
"Aubin Kramo anasumbuliwa na goti, huenda tatizo lake lilianzia ASEC [emoji1081] lakini limekuja kujitokeza Simba. Tumempa ruhusa kwenda Nchini kwao (Ivory coast) kujitibu zaidi kisha atarejea. Madaktari wamesema kama tungeendelea kumchezesha huenda angepoteza career yake

Ahmed Ally
 
Timu limejaa makanjanja, lazima liendeshwe kindondo[emoji1787]
 
hii imekaaje mchezaji anaumia anaruhusuwa akajitibie mwenyewe kwao, mambo ya kizaman sana haya!
 
Kwani unaelewa jinsi walivyokubaliana na mchezaji? Simba imepeleka wachezaji wangapi India na South Africa kutibiwa, tena ikiwa hoi kifedha, itakuwa sasa? Msijidai sana kuwa wajuaji wakati waliopo kwenye klabu wanajua nini kinatakiwa
 
Ujinga wa ku comment jambo usilolijua madhara yake una comment ujinga.Walio comment hapa wanajua makubaliano ya klabu na mchezaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…