Viongozi wa simba mpira haundeshwi kihuni hivyo! Mchezaji akiumia ni jukumu la timu kumgharamia matibabu!

Viongozi wa simba mpira haundeshwi kihuni hivyo! Mchezaji akiumia ni jukumu la timu kumgharamia matibabu!

Ao viongozi wengi wao wanafahamu ushirikina, Ukumbuke uongozi huu ndio uliopelekea klabu ya Simba kutambulika na Caf kama klabu namba moja kwa ushirikina Afrika.

Inaonekana walijaribu tiba za waganga wa apa ndani wakidhani amepigwa msumari nchi 7 na baada ya tiba walihisi amepona.
Alipo rudi uwanjani na ku umia tena, wakampeleka kwa mtaalamu mkubwa zaidi (mganga wajadi) na kupewa jibu ni msumari wa Boti.

Wale watu wa pwani wengi wana ufahamu ukubwa wa msumari wa Boti. Uongozi umejiridhisha aendekwao ku uchomoa ili arudi kuendelea na kazi.

Nawakumbusha mwiba utolewa pale ulipo ingilia ni bora angebaki na kutibiwa apa kuliko kwenda uko mbali maana atapata tabu saana.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwani unaelewa jinsi walivyokubaliana na mchezaji? Simba imepeleka wachezaji wangapi India na South Africa kutibiwa, tena ikiwa hoi kifedha, itakuwa sasa? Msijidai sana kuwa wajuaji wakati waliopo kwenye klabu wanajua nini kinatakiwa
Ila Mkuu unaipenda Simba. Unailinda na Kuitetea. Hongera sana Kiongozi.
 
"Aubin Kramo anasumbuliwa na goti, huenda tatizo lake lilianzia ASEC [emoji1081] lakini limekuja kujitokeza Simba. Tumempa ruhusa kwenda Nchini kwao (Ivory coast) kujitibu zaidi kisha atarejea. Madaktari wamesema kama tungeendelea kumchezesha huenda angepoteza career yake

Ahmed Ally
Simba wamejaliwa tu maneno. Ila ukija kwenye uhalisia, timu imejaa usaini kila idara.
 
"Aubin Kramo anasumbuliwa na goti, huenda tatizo lake lilianzia ASEC [emoji1081] lakini limekuja kujitokeza Simba. Tumempa ruhusa kwenda Nchini kwao (Ivory coast) kujitibu zaidi kisha atarejea. Madaktari wamesema kama tungeendelea kumchezesha huenda angepoteza career yake

Ahmed Ally
Kuna mmoja anafuata baada ya mechi 6.
 
Ila hapo kuna uswahili ni kama wanaamini karogwa maana hawajafuata ushauri wa mtalaam(daktari).
Inawezekana mchezaji anahisi hivyo Ila baada ya kuangaliwa jeraha madaktari walimtaka apate mapumziko lakini yeye akachagua kupumzikia kwao. Hata Inonga alipoumia bega alienda kupumzikia kwao ni kitu cha kawaida Ila watu wanapenda uzushi.
 
Hayawahusu msichoshe mishipa yenu ya fahamu kuisema Simba...
Ndo kwanza Simba ileeeee twaruka....
 
Get well soon
 

Attachments

  • 233BC107-AD23-4E51-82D5-8B15F4BB8ED9.jpeg
    233BC107-AD23-4E51-82D5-8B15F4BB8ED9.jpeg
    72.5 KB · Views: 3
Wachezaji wengi huwa wanapenda kwenda kujitibia kwao,nadhani ni kwa sababu wanapata ukaribu hasa kwa wenza wao..rejea mayele,aucho,sakho,banda na wengine kibao.
 
Back
Top Bottom