redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Ao viongozi wengi wao wanafahamu ushirikina, Ukumbuke uongozi huu ndio uliopelekea klabu ya Simba kutambulika na Caf kama klabu namba moja kwa ushirikina Afrika.
Inaonekana walijaribu tiba za waganga wa apa ndani wakidhani amepigwa msumari nchi 7 na baada ya tiba walihisi amepona.
Alipo rudi uwanjani na ku umia tena, wakampeleka kwa mtaalamu mkubwa zaidi (mganga wajadi) na kupewa jibu ni msumari wa Boti.
Wale watu wa pwani wengi wana ufahamu ukubwa wa msumari wa Boti. Uongozi umejiridhisha aendekwao ku uchomoa ili arudi kuendelea na kazi.
Nawakumbusha mwiba utolewa pale ulipo ingilia ni bora angebaki na kutibiwa apa kuliko kwenda uko mbali maana atapata tabu saana.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app