Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

King Leon 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
245
Reaction score
342
Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia zama za kale.

Hawataki kwenda kisasa kufuata sheria na utaratibu maalumu wa kupata mchezaji hivyo basi inapelekea kupata wachezaji wabovu na wale wazuri wakipoteza kila kukicha kwa kushindwa kesi .

Tulianza kwa Lameck Lawi na sasa mbaya zaidi imefika Awesu Awesu ambae mchezaji mzuri sana toka KMC wameshinda kesi na kumrejesha kwenye klabu yao. Bila kusahau wale waliowekwa vizuizini na TFF .

Tuwashauri awa viongozi walioshikilia uzamani na ukale kwenye kuendesha klabu ili kuinusuru klabu hii ya Simba Sports Club na soka la Tanzania kwa ujumla .
 
Attachments

  • IMG-20240814-WA0000.jpg
    IMG-20240814-WA0000.jpg
    52.7 KB · Views: 3
Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajiri kwasasa umebadirika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia zama za kale hawataki kwenda kisasa kufuata sheria na utaratibu maalumu wa kupata mchezaji ivo basi inapelekea kupata wachezaji wabovu na wale wazuri wakipoteza kila kukicha kwa kushindwa kesi . Tulianza kwa Lameck Lawi na sasa mbaya zaidi imefika AWESU AWESU ambae mchezaji mzuri sana toka KMC ,wC wameshinda kesi na kumrejesha kwenye klabu yao. Bila kusahau wale waliowekwa vizuizini na TFF .
Tuwashauri awa viongozi walioshikiria uzamani na ukale kwenye kuendesha klabu ili kuinusuru klabu hii ya Simba Sports Club na soka la Tanzania kwa ujumla .
Tatizo la simba ni wanachama kama wapo, na mashabiki
 
Nimekua karibu na baadhi ya Viongozi wa Simba, wala hawakosei ,ni nyie mashabiki na Wanachama ndio hamjui mnataka nn na kwa wakati gani
 
Hahahahaha mkuu hebu siku jipe muda wasome mashabiki wa simba humu nyuzi zao ,kisha niambie km kuna mtu unaona anajua anachokifanya ?
Ni ushabiki tu ila ukitoa ushabiki na mapenzi yao kwa timu ama hakika wengi kama sio wote wanajua kwenye timu yao kuna matatizo na viongozi wabovu
 
Robo tatu ya timu zinazoshiriki ligi mfadhili wao ni mmoja na ndie adui wa Simba.Simba inapaswa kufikilia kuacha na wachezaji wa ndani siku zijazo.Lakini wachezaji wazawa wanapaswa kufikilia hatma yao,kipaji ni muda mfupi sana baada ya hapo unaweza jutia maisha yako yaliyobaki.
 
Back
Top Bottom