Viongozi wa Simba ndiyo wamechangia kiasi kikubwa sana Simba kutopata matokeo mazuri nyumbani na ugenini

Ukweli huu mchungu ni Kama mwiba wa samaki ulionasa kwenye koromeo, unauma sana kila uanpomeza mate au maji.

Ndiyo lakini lazima tuuseme ili kuleta maendeleo (improvements) ya mpira wetu katika tasnia hii ya mpira wa miguu.

Ipo hivii, Chama jr siyo mchezaji/au siyo kipaombele Cha kocha lakini viongozi na mashabiki ndiyo chaguo lao Hilo.
Asipopangwa/akifanyiwa sub yanakuja makelele na kuonekana kuwa kocha hafai wakati kocha hiyo ni kazi yake na anajua Nani amtumie Nani amuache.

Jana chama alipwaya sana, lakini tu huu siyo mchezo wake wa kwanza kupwaya na kutoeleweka kuwa anacheza namba ngapi??

Lakini kutokana na makelele ya viongozi wajuaji/mashabiki wanaoingilia majukumu ya kocha basi kocha Robertinho anaona Bora amuache chama acheze kaa wanavyotaka viongozi.

Nani asiyejua kuwa mashabiki na viongozi walikuwa hawamtaki kibu denis (drogba wa bongo)??
Lakini kocha kakomaa kamuacha kibu na kuwa ndiyo chaguo lake Bora nakumuacha sakho nje Ila kwa kua sakho Hana kismat sana kuliko chama mashabiki wameongea kidogo wamenyamaza.

My take, naona kabisa Peter Banda the Wonder kid namba yake namba kumi na moja ( 11) angepewa angeonyesha maajabu, ntibazonkiza siyo mchezaji wa dakika 90.

Acheni kocha achague wachezaji wanao mfaa kutokana na mfumo wake.

Viongozi wa Simba jifunzeni kwa viongozi wa yanga hawana Mambo ya kumpangia kocha Bali huachwa kocha afanye kile anachokijua na Yanga hakuna mchezaji tegemezi/au mchezaji wa mashabiki.
Sswaaa nalia ngwena usiwashutue wach waendeleaa kulaal
 
Wewe nalia akili ndio kitu ambacho ulikataa kabisa kutumia

Na kutumia kichwa kama mfuniko wa mwili ndio tabia yako
 
Simba mpira ukitoka wanachelewesha muda kwenda kurusha na hilo limetokea kuanzia mechi ya Yanga, Wydad, Wydad

Na mshangao wa jana Simba haikuwa ikiongoza ila ndo iliyokuwa ikipoteza mpira.

Kocha anachelewa fanya mabadiliko
[emoji3578]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli huu mchungu ni Kama mwiba wa samaki ulionasa kwenye koromeo, unauma sana kila uanpomeza mate au maji.

Ndiyo lakini lazima tuuseme ili kuleta maendeleo (improvements) ya mpira wetu katika tasnia hii ya mpira wa miguu.

Ipo hivii, Chama jr siyo mchezaji/au siyo kipaombele Cha kocha lakini viongozi na mashabiki ndiyo chaguo lao Hilo.
Asipopangwa/akifanyiwa sub yanakuja makelele na kuonekana kuwa kocha hafai wakati kocha hiyo ni kazi yake na anajua Nani amtumie Nani amuache.

Jana chama alipwaya sana, lakini tu huu siyo mchezo wake wa kwanza kupwaya na kutoeleweka kuwa anacheza namba ngapi??

Lakini kutokana na makelele ya viongozi wajuaji/mashabiki wanaoingilia majukumu ya kocha basi kocha Robertinho anaona Bora amuache chama acheze kaa wanavyotaka viongozi.

Nani asiyejua kuwa mashabiki na viongozi walikuwa hawamtaki kibu denis (drogba wa bongo)??
Lakini kocha kakomaa kamuacha kibu na kuwa ndiyo chaguo lake Bora nakumuacha sakho nje Ila kwa kua sakho Hana kismat sana kuliko chama mashabiki wameongea kidogo wamenyamaza.

My take, naona kabisa Peter Banda the Wonder kid namba yake namba kumi na moja ( 11) angepewa angeonyesha maajabu, ntibazonkiza siyo mchezaji wa dakika 90.

Acheni kocha achague wachezaji wanao mfaa kutokana na mfumo wake.

Viongozi wa Simba jifunzeni kwa viongozi wa yanga hawana Mambo ya kumpangia kocha Bali huachwa kocha afanye kile anachokijua na Yanga hakuna mchezaji tegemezi/au mchezaji wa mashabiki.
Nakunukuu,
"Viongozi wa Simba jifunzeni kwa viongozi wa yanga hawana Mambo ya kumpangia kocha Bali huachwa kocha afanye kile anachokijua na Yanga hakuna mchezaji tegemezi/au mchezaji wa mashabiki"

MAYELE,
Nipo pale nimekaa na miwani zangu za ki DR 🤓🤓🤓
 
Nakunukuu,
"Viongozi wa Simba jifunzeni kwa viongozi wa yanga hawana Mambo ya kumpangia kocha Bali huachwa kocha afanye kile anachokijua na Yanga hakuna mchezaji tegemezi/au mchezaji wa mashabiki"

MAYELE,
Nipo pale nimekaa na miwani zangu za ki DR [emoji851][emoji851][emoji851]
Mayele asipokuwepo timu inashinda Kama kawa.

Back
Top Bottom