Viongozi wa Simba ndiyo wamechangia kiasi kikubwa sana Simba kutopata matokeo mazuri nyumbani na ugenini

Sswaaa nalia ngwena usiwashutue wach waendeleaa kulaal
 
Wewe nalia akili ndio kitu ambacho ulikataa kabisa kutumia

Na kutumia kichwa kama mfuniko wa mwili ndio tabia yako
 
Simba mpira ukitoka wanachelewesha muda kwenda kurusha na hilo limetokea kuanzia mechi ya Yanga, Wydad, Wydad

Na mshangao wa jana Simba haikuwa ikiongoza ila ndo iliyokuwa ikipoteza mpira.

Kocha anachelewa fanya mabadiliko
[emoji3578]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nakunukuu,
"Viongozi wa Simba jifunzeni kwa viongozi wa yanga hawana Mambo ya kumpangia kocha Bali huachwa kocha afanye kile anachokijua na Yanga hakuna mchezaji tegemezi/au mchezaji wa mashabiki"

MAYELE,
Nipo pale nimekaa na miwani zangu za ki DR πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Mayele asipokuwepo timu inashinda Kama kawa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…