Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Uongozi wa club ya Simba SC tafadhari huyu kocha wenu tutamzomea kuna sababu gani Deborah, Awesu na Nouma wanaanza Bench kila Mechi, inaumiza sana mechi zinazohitaji hao wachezaji kocha anafanya mchezo.
Tusipofika fainali lawama mtazibeba kwa haya machungu yetu inatia hasira sana huyu kocha anafanya mambo ya kichoko kila Mechi.
Kwanini Awesu hapati dakika za kucheza tupeni majibu shida ni nini? Okejepha kwanini hachezi?
Nimemaliza.