Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Kaa kimyaPeleka CV zako upewe kazi ya ukocha
Kocha ndo anakuwa na wachezaji kwenye uwanja wa mazoeziKaa kimya
Kaa kimya hujui kituKocha ndo anakuwa na wachezaji kwenye uwanja wa mazoezi
Ndo anawajuwa vizuri wachezaji kuliko wewe shabiki
Kocha anampanga mchezaji kutukana na anachoonesha mazoezi sio Kwa makelele ya mambumbumbu
Ahoua muda ule aliokuwa akilalamika maumivu nyama za paja ndio ulikuwa muda wa kumtoa na kuingia Awesu, maana hata mpira ulipo isha alikuwa anakandwa kandwa paja kwa kifupi baada ya yale maumivu hakuwa sawa.Uongozi wa club ya Simba SC tafadhari huyu kocha wenu tutamzomea kuna sababu gani Deborah, Awesu na Nouma wanaanza Bench kila Mechi, inaumiza sana mechi zinazohitaji hao wachezaji kocha anafanya mchezo.
Tusipofika fainali lawama mtazibeba kwa haya machungu yetu inatia hasira sana huyu kocha anafanya mambo ya kichoko kila Mechi.
Kwanini Awesu hapati dakika za kucheza tupeni majibu shida ni nini? Okejepha kwanini hachezi?
Nimemaliza.
Naweza nkakijibu kidogo Nouma kamkuta Hussein kwahio Wanaamini ana uzoefu kumzidi Nouma...Uongozi wa club ya Simba SC tafadhari huyu kocha wenu tutamzomea kuna sababu gani Deborah, Awesu na Nouma wanaanza Bench kila Mechi, inaumiza sana mechi zinazohitaji hao wachezaji kocha anafanya mchezo.
Tusipofika fainali lawama mtazibeba kwa haya machungu yetu inatia hasira sana huyu kocha anafanya mambo ya kichoko kila Mechi.
Kwanini Awesu hapati dakika za kucheza tupeni majibu shida ni nini? Okejepha kwanini hachezi?
Nimemaliza.
Mkuu kwanini usikubali tu kuwa Simba saiv imekuwa imara, emu angalau kuwa mwanamichezo usiwe shabiki maandaziAta kwa hatua mliyofikia si kwa juhudi za Mwalimu pekeyake, Vitendo vya ulozi ndio vimewafikisha apo.
Timu yenu kwa jinsi ilivyo haikustahili kufika ata makundi.
Makafara yanayo tolewa na kufuru zinazo fanyika ndio zilizo ifikisha Simba apo ilipo ila hakuna timu kwaiyo kocha asilaumiwe
Matokeo ndio yale , Uwanja wacBen Mkapa nyasi ata zimwagiliwe masaa 24 zinakua za njano, wale ni fungus wa makafara.Mkuu kwanini usikubali tu kuwa Simba saiv imekuwa imara, emu angalau kuwa mwanamichezo usiwe shabiki maandazi
Izo kafara na ulozi ingekuwa ni kweli basi nchi kama NIGERIA ambay inasifika kwa uchawi tungeona timu zao kama ENYIMBA FC,. RIVERS, zingekuwa mabingwa kila uchwao, kubali tu mpira saiv ni mipango na plan
Kwani Viongozi ndio wanaopanga timu? Kwani Viongozi wanakuwa na wachezaji mazoezini?Uongozi wa club ya Simba SC tafadhari huyu kocha wenu tutamzomea kuna sababu gani Deborah, Awesu na Nouma wanaanza Bench kila Mechi, inaumiza sana mechi zinazohitaji hao wachezaji kocha anafanya mchezo.