Viongozi wa Simba SC mmeshindwa kabisa kuamua ugomvi wa Shomari kapombe na Israel Mwenda?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hii ni mara ya pili hawapeani mikono kila wanapofanyiwa substitution hawapeani mikono kabisa.

Simba vs Coastal Union Kapombe na Mwenda walipishana kwa mbali Sana. Na game ya Simba SC vs Al Ahly Shomari kapombe na Mwenda wamepishana Kama magali mabovu hakuna hata kupeana mkono wa baraka Kama wafanyavyo wachezaji wengine.

Je, viongozi wa Simba sc mmeshindwa kabisa kuwaweka sawa/ kuamua ugomvi wao?
 
Utakuta mpaka wanarogana.
 
Mbona umezikimbia nyuzi zako!! Endelea kulia kilio cha kichawi cha ngwena! ngwena! ngwena! ngwena! Haya ya simba hayakuhusu!! Kwa tarifa tu ni kwamba simba wamezikunja pesa za mama tsh 20,000.000/=!! Kumbuka ulichokisema!!
 
Sisi tunaangalia kandanda safi, wewe unaangalia mikono. Kila mtu aangalie anachokipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…