NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
NASIKIA MMECHUKUA MILIONI 20Mbona umezikimbia nyuzi zako!! Endelea kulia kilio cha kichawi cha ngwena! ngwena! ngwena! ngwena! Haya ya simba hayakuhusu!! Kwa tarifa tu ni kwamba simba wamezikunja pesa za mama tsh 20,000.000/=!! Kumbuka ulichokisema!!
HONGERENI SANA.