Viongozi wa Simba shughulikieni tatizo la Ateba, ameshapigwa misumari tayari

download (3).jpeg

Mkipata mganga, nauza kuku karibuni.....
 
Nani Sasa Kibu au Boco!?Ile ni game ilikataa afu mbona ye atamaliza na single digit jiandae
 
Ateba, ni Mchezaji mzuri ila anapozwa na tabia ya kujiona yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule uwanjani.

Anaona kama wachezaji wengine hawajui mpira kumshinda yeye.

Hajitumi ye katilia tu, hajui nature ya ligi ya Tanzania ni tofauti na ligue zingine, hapa bila kujituma maisha ya ligue ya Tz utayaona magumu.
 
Ajifunze kwa Mukwala sasa..kaka amepitia wakati mgumu kama striker ila hajawahi kukata tamaa...
 
Ila game ya Mashujaa vs Simba Ismaili Mgunda, Idriss Stambuli na Dunia walikuwa kwenye kiwango bora hawa watu wameipa simba wakati mgumu sana.

Simba ni klabu kubwa naamini mechi ya leo ilikuwa ni kipimo kizuri kuna mambo mengi ya kuyafanyia kazi hususani safu ya ushambuliaji, timu imekaa vizuri kwenye safu ya mabeki kina che malone fondoh wako vizuri mno, kwenye midfielders timu imetulia sana kina deborah Fernandez Mafambo Fundi wa mpira yuko imara na wenzie ila hapo mbele kwenye umaliziaji namuona Kibu akijaribu kufanya kila kitu, laini kamanda kungekuwa na mtu kama Osmane Sakho na Peter Banda huenda wangekuwa msaada sahihi mno kwa wakati tulionao wanasimba.

Tuimarishe safu ya ushambuliaji.
 
Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni, viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
Kama uchawi mnaouamini ungelipa basi bila shaka afrika ingebeba kombe la dunia kwa kuroga
 
Ajifunze kwa Mukwala sasa..kaka amepitia wakati mgumu kama striker ila hajawahi kukata tamaa...
Mukwala saivi kapata akili baada ya kukaa kwa muda na kuielewa ligue ilivyo maana nae alikujaga na wenge akatulia mwenyewe baada ya kuona hali halisi.
 
Na hii ndiyo tofauti ya makolowizard na Yanga.

Dube hii mechi ya nane hana goli hata moja lakini huwezi kukuta shabiki wa Yanga anawaza ushirikina kwamba Dube karogwa.

Njoo kwa ndugu zetu sasa.

Wanaabudu sana ushirikina no wonder kule sourth walichoma uwanja.
 
Si ndo huko ushirikina ulikozaliwa hamuwezi kuteseka nao😄😄😄😄
 
Hii misumari ingekuwa inafanya kazi si mngewapiga kina Percy Tau na Al Ahly yake wasiwe wanawashenyenta kila msimu.

Imani za hovyo sana.
 
Hata angeletwa harland ingekuwa ngumu sana kwa yeye kufunga kwasababu simba eneo la ushambuliaji hatuna mawingazi kwa maana ya namba 7 na 11 ambao wana uwezo wa kutengeneza nafasi hata 5 tu kwa msimu(kibu na mutale) just imagine msimu unaisha kibu hana hata asisti moja, mutale hadi sasa hivi hana asisti hata moja mzigo wote anaachiwa jean ahua kama namba 10 ambaye uyo ahua hadi sasa hivi bado anahangaika kwenye kutengeneza nafasi. Just imagine katika kila mechi kama mutale angekuwa anatengeneza nafasi mbili tu clear,kibu mbili clear,ahua mbili clear jumla 6 je ateba angeshindwa kufunga? Tutafute mawingazi ambao wako productive kibu na mutale "BIG NO"
 
Wewe unaujua mpira
 
Mpanzu ataanza kutusaidia January nasikia ni mzuri...walau upande Mmoja....
 
Back
Top Bottom