covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Sio kweli ateba ni mchezaji wa kiwango cha kawaida tu.Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni,
Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
Viongozi wa Simba na Mo waache ubabaifu watoe hela wasajili wachezaji wa maana.
Aiingi akili timu kubwa kama simba inakushanya lundo la wachezaji underdogs wa kawaida eti kikosi kinapikwa taratibu ndo nini sasa hiko yaani timu kubwa hivyo inawatu wanaudumavu wa akili sana.