Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Ajifunze kwa Mukwala sasa..kaka amepitia wakati mgumu kama striker ila hajawahi kukata tamaa...Ateba, ni Mchezaji mzuri ila anapozwa na tabia ya kujiona yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule uwanjani.
Anaona kama wachezaji wengine hawajui mpira kumshinda yeye.
Hajitumi ye katilia tu, hajui nature ya ligi ya Tanzania ni tofauti na ligue zingine, hapa bila kujituma maisha ya ligue ya Tz utayaona magumu.
Kama uchawi mnaouamini ungelipa basi bila shaka afrika ingebeba kombe la dunia kwa kurogaAteba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni, viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
Mukwala saivi kapata akili baada ya kukaa kwa muda na kuielewa ligue ilivyo maana nae alikujaga na wenge akatulia mwenyewe baada ya kuona hali halisi.Ajifunze kwa Mukwala sasa..kaka amepitia wakati mgumu kama striker ila hajawahi kukata tamaa...
Si ndo huko ushirikina ulikozaliwa hamuwezi kuteseka naoππππNa hii ndiyo tofauti ya makolowizard na Yanga.
Dube hii mechi ya nane hana goli hata moja lakini huwezi kukuta shabiki wa Yanga anawaza ushirikina kwamba Dube karogwa.
Njoo kwa ndugu zetu sasa.
Wanaabudu sana ushirikina no wonder kule sourth walichoma uwanja.
Hamna mchezaji mle.Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni,
Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
Wewe unaujua mpiraHata angeletwa harland ingekuwa ngumu sana kwa yeye kufunga kwasababu simba eneo la ushambuliaji hatuna mawingazi kwa maana ya namba 7 na 11 ambao wana uwezo wa kutengeneza nafasi hata 5 tu kwa msimu(kibu na mutale) just imagine msimu unaisha kibu hana hata asisti moja, mutale hadi sasa hivi hana asisti hata moja mzigo wote anaachiwa jean ahua kama namba 10 ambaye uyo ahua hadi sasa hivi bado anahangaika kwenye kutengeneza nafasi. Just imagine katika kila mechi kama mutale angekuwa anatengeneza nafasi mbili tu clear,kibu mbili clear,ahua mbili clear jumla 6 je ateba angeshindwa kufunga? Tutafute mawingazi ambao wako productive kibu na mutale "BIG NO"
Mpanzu ataanza kutusaidia January nasikia ni mzuri...walau upande Mmoja....Hata angeletwa harland ingekuwa ngumu sana kwa yeye kufunga kwasababu simba eneo la ushambuliaji hatuna mawingazi kwa maana ya namba 7 na 11 ambao wana uwezo wa kutengeneza nafasi hata 5 tu kwa msimu(kibu na mutale) just imagine msimu unaisha kibu hana hata asisti moja, mutale hadi sasa hivi hana asisti hata moja mzigo wote anaachiwa jean ahua kama namba 10 ambaye uyo ahua hadi sasa hivi bado anahangaika kwenye kutengeneza nafasi. Just imagine katika kila mechi kama mutale angekuwa anatengeneza nafasi mbili tu clear,kibu mbili clear,ahua mbili clear jumla 6 je ateba angeshindwa kufunga? Tutafute mawingazi ambao wako productive kibu na mutale "BIG NO"
Umeyajuaje hayo we Kolo.πππAjifunze kwa Mukwala sasa..kaka amepitia wakati mgumu kama striker ila hajawahi kukata tamaa...
yes kama mpanzu atakuwa productive simba itakuwa hatari hutamuona ateba akihangaika tena kufunga.Mpanzu ataanza kutusaidia January nasikia ni mzuri...walau upande Mmoja....