Sio kweli ateba ni mchezaji wa kiwango cha kawaida tu.Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni,
Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
Hapa mshambuliaji anarudi nyuma kukaba na kutafuta mipiraAteba, ni Mchezaji mzuri ila anapozwa na tabia ya kujiona yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule uwanjani.
Anaona kama wachezaji wengine hawajui mpira kumshinda yeye.
Hajitumi ye katilia tu, hajui nature ya ligi ya Tanzania ni tofauti na ligue zingine, hapa bila kujituma maisha ya ligue ya Tz utayaona magumu.
Kiongozi labda nilivyokuelewa ni kwamba tunakosa viungo wa pembeni wazuri wakusaidiana na kiungo wa kati namba 10 ....maana mpira wa saivi unatumia Sana viungo wa pembeni kwa namba 7 na 11 kuliko wachezaji wenye asili ya winga za kizamani.yes kama mpanzu atakuwa productive simba itakuwa hatari hutamuona ateba akihangaika tena kufunga.
Anatimiza mwezi hajafungaAteba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni,
Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.