Viongozi wa simba tumewachoka!

Hiyo ni jersey mpya,unashangaa nini
Au sababu hazina NambaπŸ˜‚
 
Ifike mda muheshimu na muelewe Simba ni timu kubwa na yenye heshima kubwa Afrika,

Hiki ni nini sasa!View attachment 2688977
Mpaka sasa nimependa tone ya wekundu anaotumia Sandaland kwenye jezi ya Simba. Vunjabei alikuwa anachanganya shade za wekundu zaidi ya moja kwenye jezi moja, sina uhakika ni ubunifu wa wapi wa nguo unaoweza fanya kitu kama hicho. Zile nguo walizovaa wakati wanakwenda Uturuki ni kali sana ingawa najua ni za mpito. Ile combination ya blue na red inanikumbusha Tommy Hilfiger.
 
Kajula nimemkubali kwenye marketing. Kuna watu wanaumia huku. Wanasimba tunaendelea kujichanga ili tusikose jezi kali
Mbumbumbu wa Simba kweli hamnazo badala ya kuhangaikia usajili Ili Yanga isichukue makombe moja kwa moja kwa mwaka wa tatu mfululizo wao wako bize na jezi! Sijui jezi Kali mara vunjabei hafai, sijui tukapige picha na twiga kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro, Makolo wamejaa ujinga mtupu jezi zina faida Gani wakati kabatini Msimbazi kombe hata moja hakuna! Vumbi tu limejaa!

Huyu Rage the Great Mimi Utopolo Lialia nampa Maua yake 🌹🌹🌺πŸ₯€πŸ’πŸ’πŸ€ͺ
 
Ajabu wewe unahangaika na mambo ya Simba, hebu tuache tufurahi siye
 
Management ya Kolowizard hawana weledi wa kutosha kwenye tasnia ya mpira wa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…