Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni beg mkuuIfike mda muheshimu na muelewe Simba ni timu kubwa na yenye heshima kubwa Afrika,
Hiki ni nini sasa!View attachment 2688977
Kituko hiki[emoji28][emoji28][emoji1]Ifike mda muheshimu na muelewe Simba ni timu kubwa na yenye heshima kubwa Afrika,
Hiki ni nini sasa!View attachment 2688977
Mpaka sasa nimependa tone ya wekundu anaotumia Sandaland kwenye jezi ya Simba. Vunjabei alikuwa anachanganya shade za wekundu zaidi ya moja kwenye jezi moja, sina uhakika ni ubunifu wa wapi wa nguo unaoweza fanya kitu kama hicho. Zile nguo walizovaa wakati wanakwenda Uturuki ni kali sana ingawa najua ni za mpito. Ile combination ya blue na red inanikumbusha Tommy Hilfiger.Ifike mda muheshimu na muelewe Simba ni timu kubwa na yenye heshima kubwa Afrika,
Hiki ni nini sasa!View attachment 2688977
Hiyo ni New Jersey, USA.Ifike mda muheshimu na muelewe Simba ni timu kubwa na yenye heshima kubwa Afrika,
Hiki ni nini sasa!View attachment 2688977
Sijakuelewa..mbona unaandika kama uko kituo cha daladala za MbagalaIfike mda muheshimu na muelewe Simba ni timu kubwa na yenye heshima kubwa Afrika,
Hiki ni nini sasa!View attachment 2688977
Mbumbumbu wa Simba kweli hamnazo badala ya kuhangaikia usajili Ili Yanga isichukue makombe moja kwa moja kwa mwaka wa tatu mfululizo wao wako bize na jezi! Sijui jezi Kali mara vunjabei hafai, sijui tukapige picha na twiga kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro, Makolo wamejaa ujinga mtupu jezi zina faida Gani wakati kabatini Msimbazi kombe hata moja hakuna! Vumbi tu limejaa!Kajula nimemkubali kwenye marketing. Kuna watu wanaumia huku. Wanasimba tunaendelea kujichanga ili tusikose jezi kali
Ajabu wewe unahangaika na mambo ya Simba, hebu tuache tufurahi siyeMbumbumbu wa Simba kweli hamnazo badala ya kuhangaikia usajili Ili Yanga isichukue makombe moja kwa moja kwa mwaka wa tatu mfululizo wao wako bize na jezi! Sijui jezi Kali mara vunjabei hafai, sijui tukapige picha na twiga kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro, Makolo wamejaa ujinga mtupu jezi zina faida Gani wakati kabatini Msimbazi kombe hata moja hakuna! Vumbi tu limejaa!
Huyu Rage the Great Mimi Utopolo Lialia nampa Maua yake [emoji257][emoji257][emoji259][emoji1651][emoji253][emoji253][emoji2957]