Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo mipango nje ya uwanja nyie si ndio magwiji wa uchawi mnashindwa nini wakati ndio michezo yenu mpaka caf wanawajua, Unapanda bangi unategemea kuvuna mahindi si utaahira huo, usajili ovyo alafu utegemee kufanya vizuri ni maajabu ya dunia ayoUnadhani Utopolo wana uwezo wa kuifunga Simba? Ni mipango tu nje ya uwanja basi
100%√Unadhani Utopolo wana uwezo wa kuifunga Simba? Ni mipango tu nje ya uwanja basi
Ikiwa unaamini hakuna uchawi basi, wewe ni mtoto usiyejua maisha.Miaka hii mnawaza uchawi shame!!!
We lizee una shida Sana
Mpira hauna short cut ni investment over
Litimu libovu hilo uo ndio ukweli mchungu.
Sawa tumekwisha ila kwa hili hatulifumbii machoHivi kweli Simba mmekwisha kiasi hiki?si mna goli mbili mkononi nyie za ugenini?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sure mkuu hii Ina watu vilaza sijapata onaPumbavu, mpira ni sayansi sio uchawi.
Nyie ndio mmeufikisha mpira hapa!
AhahahaEti viongozi wanawaona hamna akili......
Kwahiyo mnazo?