Viongozi wa Simba, Uwanja wa Mkapa umulikeni, Utopolo wakimalizana na Zalan tukausafishe vinginevyo tumekwisha Jumapili

21st century, middle class wa kitanzania anafikiria uchawi!!,ndio maana huku lingusenguse mvua imekataa kunyesha
 
Tumia njia hii Kama kawaida yenu.mlitumia vizuri mkampiga Tanzania prisons
 
Unadhani Utopolo wana uwezo wa kuifunga Simba? Ni mipango tu nje ya uwanja basi
Iyo mipango nje ya uwanja nyie si ndio magwiji wa uchawi mnashindwa nini wakati ndio michezo yenu mpaka caf wanawajua, Unapanda bangi unategemea kuvuna mahindi si utaahira huo, usajili ovyo alafu utegemee kufanya vizuri ni maajabu ya dunia ayo
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„
Mkuu mi naunga mkonoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…